John Mwaisengela
Member
- May 6, 2024
- 77
- 103
Wahusika kama ilikuwa muda bado wa kujenga mliona haja gani kukwangua barabara na kuicha hivo wiki ya 4 sasa. Mnatupa kero sana na vumbi na foleni isiyo na sababu.
Kipande hiki tokea mzunguko wa kutokea darajani kama unaenda Vijibweni au Kisiwani kuna kipande maarufu kwa steve ni kero sana na mbaya njia ilikuwa haina shida vile ila sasa toka wahusika mmekwangua ni vumbi na uharibifu wa magari ya watu.