diana chumbikino
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 428
- 368
Unataka return ipi, kwani Serikali imeenda pale kufanya biashara?Wanajitahidi kuifanya dodoma kuwa mji mzuri ,but safari bado ndefu na gharama kubwa zitatumika bila return. Wangejipa muda mji ungekuwa wenyewe kupitia shughuli za kibiashara
Hii picha mnayoonyesha ndio design yenyewe?patapendeza sana,ila watu waboreshe makazi yao,ukiwa unashuka kwa ndege mji unaonekana mchafu sana
Return ni kuwa na barabara na miundo mbinu mizuri itakayowenzesha wananchi kufanya shughuli zao za kiuchumi na kijamii vizuri, serikali haipo kwa ajili ya biashara....pia fedha hizi ni mkopo tunakopa tunaingiza fedha kwenye mzunguko tunanufaila wananchi pamoja na serikali kupitia kodi ambazo zitafanya mambo mengine...Wanajitahidi kuifanya dodoma kuwa mji mzuri ,but safari bado ndefu na gharama kubwa zitatumika bila return. Wangejipa muda mji ungekuwa wenyewe kupitia shughuli za kibiashara
Unataka return ipi, kwani Serikali imeenda pale kufanya biashara?
Shughuli zipi wakat serikal kazi yake n kujenga miundombinu bora ili kurahisisha raia kufanya biashara..?Wanajitahidi kuifanya Dodoma kuwa mji mzuri but safari bado ndefu na gharama kubwa zitatumika bila return. Wangejipa muda mji ungekuwa wenyewe kupitia shughuli za kibiashara.
Shughuli zipi wakat serikal kazi yake n kujenga miundombinu bora ili kurahisisha raia kufanya biashara..?
Watu hawawezi hyo shughuri ya kujenga, apartments za kisasa zijengwe na govt na real estate companies bila hvyo jiji litakuwa la hovyo tu kama unabisha angalia opposite ya mji wa govt uone nyumba za hovyo tudiana chumbikino,
Hii picha mnayoonyesha ndio design yenyewe? patapendeza sana, ila watu waboreshe makazi yao. Ukiwa unashuka kwa ndege mji unaonekana mchafu sana.
Mwambie huyo, maana wengi hawaelewi faida za uwekezaji wa serikali. Mfano mmoja mzuri ni ile taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete. Upasuaji unaofanyika pale sasa umeweza saidia kuokoa maisha na fedha nyingi serikali ilizokuwa ikizitumia kupeleka watu India.Return ni kuwa na barabara na miundo mbinu mizuri itakayowenzesha wananchi kufanya shughuli zao za kiuchumi na kijamii vizuri, serikali haipo kwa ajili ya biashara....pia fedha hizi ni mkopo tunakopa tunaingiza fedha kwenye mzunguko tunanufaila wananchi pamoja na serikali kupitia kodi ambazo zitafanya mambo mengine...
Kwanini mnatumia picha ya mchoro wa nchi nyingine? Au design bado?