Siku ya kwanza nakanyaga tbt nilishangaa nilijuwa mandhari yake ni kama osterbay au kule mikocheni😄
hahaha iyo tbt kimanga ndio kama tandale ndogo yaan ale tbt kimanga mwisho ile njia kama unaenda ile njia ya migombani yaan mi maji taka ina tiririka , nasikia zaman kulikuwa ni bonde la munga lile eneo ila watu wakajifanya ma engineer toka Holland wakajenga mijengo yao ila sasa ivi ni mijumba inaliwa na chumvi tu a.k.a fungus
kwa hali kama hiyo ata bei ya vyumba na nyumba za kungisha zina shuka thamaniNajuta kuishi huku
kwa hali kama hiyo ata bei ya vyumba na nyumba za kungisha zina shuka thamani
miaka mingi sana huko toka 2007
Napitaka huko, kumekuwa uswahilini sanaSaiz pako hovyo
Uchafu, takataka, Mitaa Tandale ikasomeTabata ni sehemu maarufu sana kwa wakazi wa Dar es Salaamu, chaajabu eneo hilo haliendani kabisa na jina lake maana kuna kero kubwa ya barabara.
Mfano mimi naishi Tabata kisiwani, barabara ni kero sana hasa wakati wa mvua.
Najua wengi wameliongelea hili swala lakini mabadiliko hakuna kabisa, sasa najiuliza uongozi huwa hawalioni hili au ndo kusema wanatudharau sisi wapiga kura wa Tabata?
Hivi mvua zikianza maji yanajaa kuanzia daraja la pale mwananchi communication hapapitiki na hatuoni mabadiliko kabisa.
Soma pia
Uzuri wake nini?Tabata ni sehemu nzuri sana kuishi na familia kwa sisi wenye vipato vya kati.
Karibu Tabata wakuu