KERO Barabara za Vianzi Vikindu jimboni kwa Mbunge Ulega ni changamoto kubwa sana

KERO Barabara za Vianzi Vikindu jimboni kwa Mbunge Ulega ni changamoto kubwa sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

KENTUFYA

Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
15
Reaction score
13
Hapa ni Vianzi Vikindu barabara ni shida na mbunge anajua, tusaidieni wadau kwani ni aibu, Wadau mtusaidie.
IMG_20240515_204926.jpg
 
Humu hakuna kitu kabisa, kuna barabara ya kutoka Mkuranga, kuja Tengelea, kisha Dondwe, Mvuti, Chanika, ni muhimu saana hii, lakini mbovu kufuru.

Kuna kijiji hapo cha Lubambawe hakuna umeme kisa tu Ulega hapatani na diwani wake.. Yaani bifu lao linazuia maendeleo.
Na majitu yalivyo majinga utashangaa anapita tena.

DANGANYIKA kiujumla ni sikio la kufa.
 
Humu hakuna kitu kabisa, kuna barabara ya kutoka mkuranga, kuja tengelea, kisha dondwe, mvuti, chanika, ni muhimu saana hii, lakini mbovu kufuru.
Kuna kijiji hapo cha Lubambawe hakuna umeme kisa tu ulega hapatani na diwani wake.. Yaani bifu lao linazuia maendeleo.
Na majitu yalivyo majinga utashangaa anapita tena.

DANGANYIKA kiujumla ni sikio la kufa.
Huyu anabebwa na ushirikina + udini pekee
 
Kiongozi wa mtaa au kijiji
Ahusike hapo mchimbe mitaro ya pembeni mwa barabara ili maji yasiwe yanasimama
Huku mkiendelea kumsubiri huyo Ulega
Mambo mengine ni kujiongeza tu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Humu hakuna kitu kabisa, kuna barabara ya kutoka mkuranga, kuja tengelea, kisha dondwe, mvuti, chanika, ni muhimu saana hii, lakini mbovu kufuru.
Kuna kijiji hapo cha Lubambawe hakuna umeme kisa tu ulega hapatani na diwani wake.. Yaani bifu lao linazuia maendeleo.
Na majitu yalivyo majinga utashangaa anapita tena.

DANGANYIKA kiujumla ni sikio la kufa.
Huyo diwani anaongoza kijiji kimoja tu? Kwanini umeme usiruke kata nzima ya huyo diwani.
 
Kiongozi wa mtaa au kijiji
Ahusike hapo mchimbe mitaro ya pembeni mwa barabara ili maji yasiwe yanasimama
Huku mkiendelea kumsubiri huyo Ulega
Mambo mengine ni kujiongeza tu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
mwenyekiti anaweza jiongeza kilometa tatu...Mbunge haana kipaumbele.
 
Back
Top Bottom