Jamani acheni utani kufika huko hapa Tanzania ni ndoto, kuna kipindi nilikuwepo huko USA mhhhh!! Nilikuwa nashangaa bara bara zao, sijui hata walijengaje. Na hizi zilizopo hapa kwenye picha ni cha mtoto, kuna nyingine ni balaa hasa miji ya New York na New Jersey na CA.