mwanamasala
JF-Expert Member
- Jun 20, 2009
- 248
- 12
Kwa magari mangapi?Tulitakiwa tuwe na barabara kama hizi tangu uhuru,Dar-Dodoma,Dar-Iringa maana roads zetu ni chinjachinja
Hata mimi nashangaa...toka uhuru tuwe na barabara za namna hii.... isingewezekana....kwanza wenye magari wote majina yao yalikuwa ikulu kwa Nyerere........... na ukikamatwa na dilali moja utaeleza ulikoitoa .......... kuwa na TV ilikuwa ni anasa isiyo kifani.......... Itakuwa hizo barabara.???? Tutaishia kuziona kwenye picha tu kama ilivyokwisha kusemwa na mmoja wa wachangiaji.Kwa magari mangapi?
Kwa viongozi gani kutoka chadema kina mbowe na mwafrica mawzo yao yamejaa mvinyo (akili ndogo) na kuendesha biashara ya disco lol..chadema itaongeza idadi ya walevi tanzania ndani ya miaka mitano ya mwanzo..miaka inayofuatia watafukuzwa ikulu kama umbwa mwitu mungu aepusha balaa la chadema lol.Bado tuna nafasi ya kufanya haya....mbona India ndo wanazijenga leo? bado hatuja chelewa!!! CHADEMA inaweza kujenga walau moja.....wasi wasi wangu je ni lini watachukua madaraka?
Hujui unachoongea... Search hapa hapa JF kuhusu barabara za Tz, kuna somo zuri juu ya hilo!Nashangaa hata wakati wa Nyerere,kwa nini aliwakubalia contractors kujenga barabara ya Single lane from Dar to Dodoma.Bila shaka Nyerere alipokuwa Scotland aliona barabara za wazungu.TANROADS is a joke,ni ulaji tu.
Chinjachinja ilikuwepo miaka ile wakati Mrema akiwa Home Affairs,mpaka akabadili usafiri wa mabus kuwa mchana njia ya Dar to Dodoma.Wakati wa Ukoministi wa Chinese wangeweza kutujengea barabara nzuri tu kwa pesa ndogo kama walivyofanya TAZARA
Kwa viongozi gani kutoka chadema kina mbowe na mwafrica mawzo yao yamejaa mvinyo (akili ndogo) na kuendesha biashara ya disco lol..chadema itaongeza idadi ya walevi tanzania ndani ya miaka mitano ya mwanzo..miaka inayofuatia watafukuzwa ikulu kama umbwa mwitu mungu aepusha balaa la chadema lol.
Ni kwa kodi ipi kila mtanzanaia anyoitoa?
Wenzetu wanafanyakazi bwana,na kulipa kodi.
Inawezekana tatizo la paka kwa panya lingekwisha kama paka angefungiwa kengele shingoni: taabu ni kumpata panya wa kuifanya kazi hiyo. Na panya watakuwa wajinga sana wakidhani kuwa paka watajifunga au watafungana kengele shingoni. NYEREREKwa ufisadi ulioota mizizi hata ukilipa kodi kiasi gani hakuna kitakachofanyika. Suala si tu kulipa kodi bali ni uwajibikaji wa hao wanaotunza hazina yetu. Hakuna mantiki kulipa kodi kwa ajili ya kunufaisha wezi wachache.
Hujui unachoongea... Search hapa hapa JF kuhusu barabara za Tz, kuna somo zuri juu ya hilo!
Ukimaliza kusoma uje na hoja yako mpya, na sio aina hii ya mada!