Barack Obama azuia sketi ya mkewe (Michelle Obama) kupepea na upepo

Aisee watu wanajua kuchangua sura za ukweli,ndo maana sitaki kuoa mapema bado nasaka
 
Basi hapa mwanamke anajiona yupo sayari ingine kabisa. Hapo alikwenda toa penzi loote la moyo.
 
Tatizo kwetu bongo wazuri hawajatulia


sasa sijui tuangaliage nini mkuu!
Maana

>wenye tabia nzuri = majanga !
>Wenye sura nzuri = Majanga !
>Wenye mvuto = majanga !


Wenye sura nzuri na mvuto ndo hao - PESA Kwanza !
 
sasa sijui tuangaliage nini mkuu!
Maana

>wenye tabia nzuri = majanga !
>Wenye sura nzuri = Majanga !
>Wenye mvuto = majanga !


Wenye sura nzuri na mvuto ndo hao - PESA Kwanza !
ila heri kuoa sura nzuri bhana mengi tutavumiliana
 
halafu mke wa Rais kumbe kavaa under skirt,safi sana
 
Obama is a class act when it comes to etiquette, minus the inevitable gaffes of course.

Wazazi fundisheni watoto tangu wadogo, mambo mengine hujifunzi shule haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…