Barack Obama Special Thread - continued...

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Mods vipi bana....kwa nini mmenifungia kule kwa Obama? This is not fair y'all
 
LOL! Lipa faini watakufungulia...🙂
 
vipi mbona huku kuingia ni pagumu sana...leo ndio leo sasa naona starehe zote mnatumalizia,rekebisheni basi hivyo vi cookies.
 
jamani sasa kama baada ya haya matokeo ya leo na Clinton akiendelea tutajua ana nia moja tuu...to destroy Obama maana theres no way akashinda hii nomination!
 
jamani sasa kama baada ya haya matokeo ya leo na Clinton akiendelea tutajua ana nia moja tuu...to destroy Obama maana theres no way akashinda hii nomination!

Chukua taimu wewe...ku destroy chama ndio nini?
Mama anashinda Indiana halafu tunakutana WV....upo hapo?
 
NN, Koba, YNIM..
....hata mimi nashindwa kabisa kuingia ktk ile thread.......mods what is happening?
 
ingia kwa page yeyote ya zamani baada ya ku-log in kama kawaida na utakuwa able kupost and therefore kwenye current page!!! najua hai-make sense, lakini nimefanya hivyo ktk post zangu mbili za mwisho kwenye ile thread.

Sasa wewew ndio umeongea nini hapa...?
 

Kwa hiyo Obama akishinda leo anakuwa rahisi wa Marekani?
 
Dah nilifikiria wamenifisadi, nikadelete cookies zote wapi...mods inakuwaje au ndio kuhamisha na kufuta baadhi ya majukwaa?
 
Mama ajitokeze basi atoe speech yakeeee....yaani anataka kusubiri mpaka saa sita usiku
 
 
....haya sasa ma-pundits wameanza kelel za Michigan na Florida.......wameacha mambo ya electability.....mwaka huu watatafuta kila aina ya sababu
 
Kupost kule kwenye topic inabidi uchague page number za kati na upost kutokea hapo na sio uchague last page. I hope that helps, na uanze kwa delete cookies halafu fanya hivyo.
 
mazee vipi.......ulituacha kwenye mataa jpili............Haya tukaangalie kamama sasa kanatoa speech
 
mazee vipi.......ulituacha kwenye mataa jpili............Haya tukaangalie kamama sasa kanatoa speech
Mazee Jumapili kulitokea matatizo ya kiufundi kidogo lakini wiki hii kama kumsukuma mambo yataendelea kama kawa.
 
Okay guys naingia LIVE sasa hivi na Slow Jamz ndani ya Bongo Radio na request zinaruhusiwa mambo ya slow Jamz ya zamani na sasa ndani ya www.bongoradio.com
 
Hivi mapundits waliodai Obama atashindwa North Carolina vibaya wanajisieje ? Walisema Indiana itakuwa blow out ....Mama naona amechoka kabisa , Jamani let's learn to give credit where it's due ....Obama amewashock mapundits wote waliosema ameshindwa baada ya perfomance ya Dr. Wright. Mama leo anaonekana amechoka kabisa ...
 
Hata mimi naona kule siwezi kuingia, nilifikiri peke yangu kumbe tupo wengi!

Kwa kweli matokeo ya jana yamenikata maini kabisa. Na nafikiri kwa hapa alipofikia kuna haja ya ya Fighter Hillary kumpisha huyu kijana aendelee. Inauma sana kushindwa lakini sasa ndiyo hivyo inabidi akubali tu yaishe. Hata mimi ningekuwa super delegate baada ya matokeo haya ningemshauri kabisa Fighter Hillary akabidhi mikoba kwa Obama ili safari iendelee.
 
Just out of curiosity, kwa sababu mmeileta humu.Kweli kuna watu humu JF waliokuwa wanamshabikia Billary? Inanikumbusha hadithi ya kaa wa kiafrika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…