Hata mimi naona kule siwezi kuingia, nilifikiri peke yangu kumbe tupo wengi!
Kwa kweli matokeo ya jana yamenikata maini kabisa. Na nafikiri kwa hapa alipofikia kuna haja ya ya Fighter Hillary kumpisha huyu kijana aendelee. Inauma sana kushindwa lakini sasa ndiyo hivyo inabidi akubali tu yaishe. Hata mimi ningekuwa super delegate baada ya matokeo haya ningemshauri kabisa Fighter Hillary akabidhi mikoba kwa Obama ili safari iendelee.