Baracka da Prince yupo busy na Najma, amesahau hata muziki

Simuelewi huyu kijana siku hizi, huko instagrama picha zote yupo na Najma, mara anamla denda, mara kamshika makalio, hata mziki sasa hivi sijui kama anaimba tena. Inabidi arekebike
msukuma mbele ya mwanamke mweupe ni kama nguruwe kwenye muwa au ngedele kwenye ndizi au Madimba jr na celeb forum
 
Simuelewi huyu kijana siku hizi, huko instagrama picha zote yupo na Najma, mara anamla denda, mara kamshika makalio, hata mziki sasa hivi sijui kama anaimba tena. Inabidi arekebike

Bongo fleva hailipi jamani, wasanii wa kibongo wanaishi maisha fake mno. Kijana ana akili sana kujituliza.
 
Si naskia ni ya mama yake naj
Hahahaaaa Ndio maana nimeuliza maana alivyojishebendua kwenye ile show ya Ujenzi akionyesha Nyumba Yake "FEKI" hajarudi tena kuonyesha mjengo ulivyokamilika.
 
Mleta mada ndiye Baraka mwenyewe (da pincess sijuwi). Fikira zangu huru zimenieleza hiyvo.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…