Barafu katika jangwa la saud Arabia!

Barafu katika jangwa la saud Arabia!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Through my study!
it’s a polar shift, geomagnetic reversals where the earths north and south poles change place .. occurs every 200,000 years or so . Which will disrupt many weather patterns, some considerably with freak storms , tornados , droughts ect
#
FB_IMG_17314135680681244.jpg
Ps and who’s history ? Our small time in this planet, it's tough to know this!
As I learnt!
Wasomi wenzangu tu discuss hili kwa knowledge tulizonazo, kama wasomi wabobevu na siyo wa kukariri.
 
Kwa elimu yangu hii bobevu, study zinanionyesha kuna uwiano wa maji ambayo hutakiwa kubaki chini ya ardhi bila wingi wake kuwa disturbed, kuvuta maji haya nje au juu ardhi kwa wingi huenda kukasababisha mabadiliko ya hali ya hewa hasa baadhi ya maeneo kupata ukame mpya, kinyume na asili ya eneo husika, although katika kutengeneza balance maji hujijaza polepole katika pengo la maji ardhini, huku athari tunakuwa tumeshazipata.
 
Through my study!
it’s a polar shift, geomagnetic reversals where the earths north and south poles change place .. occurs every 200,000 years or so . Which will disrupt many weather patterns, some considerably with freak storms , tornados , droughts ect
#View attachment 3150308Ps and who’s history ? Our small time in this planet, it's tough to know this!
As I learnt!
Wasomi wenzangu tu discuss hili kwa knowledge tulizonazo, kama wasomi wabobevu na siyo wa kukariri.
Hii siyo mara ya kwanza Saudi Arabia kupata theluji (snow) labda sehemu hili iliyoanguka au labda safari hii imeanguka kwa wingi sana.

Kaskazini mwa Saudi Arania huanguka snow kwa kiwangpo kidogo ingawa siyo kiula mwaka.

Ni kama Tanzania, hatuna kuanguka thluji lakinihuwa tunashuhudia sehemu za baridi kama nyanda za juu kusini na kaskazini zikipata theluji kidogo.

Saudi Arabia hunguka mvua ya barafu labsa mara mbili au tattu kila miaka 10., kwetu huku huita mvua ta mawe.

Tusixhanganye barafu na theluji. Hii ya safari hii ni theluji tena kwa wingi sana.
 
Umeandika Takataka gani hapa??

Alosto itakuua
 
Through my study!
it’s a polar shift, geomagnetic reversals where the earths north and south poles change place .. occurs every 200,000 years or so . Which will disrupt many weather patterns, some considerably with freak storms , tornados , droughts ect
#View attachment 3150308Ps and who’s history ? Our small time in this planet, it's tough to know this!
As I learnt!
Wasomi wenzangu tu discuss hili kwa knowledge tulizonazo, kama wasomi wabobevu na siyo wa kukariri.
Baada ya miaka mingine 350,000 jangwa litabadilika na kuwa ziwa
Ila Isije ukawa ulipita kwenye milima ya Alps halafu ukadhani upo jangwani
 
Back
Top Bottom