Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hii siyo mara ya kwanza Saudi Arabia kupata theluji (snow) labda sehemu hili iliyoanguka au labda safari hii imeanguka kwa wingi sana.Through my study!
it’s a polar shift, geomagnetic reversals where the earths north and south poles change place .. occurs every 200,000 years or so . Which will disrupt many weather patterns, some considerably with freak storms , tornados , droughts ect
#View attachment 3150308Ps and who’s history ? Our small time in this planet, it's tough to know this!
As I learnt!
Wasomi wenzangu tu discuss hili kwa knowledge tulizonazo, kama wasomi wabobevu na siyo wa kukariri.
Umeandika Takataka gani hapa??Hii siyo mara ya kwanza Saudi Arabia kupata theluji (snow) labda sehemu hili iliyoanguka au labda safari hii imeanguka kwa wingi sana.
Kaskazini mwa Saudi Arania huanguka snow kwa kiwangpo kidogo ingawa siyo kiula mwaka.
Ni kama Tanzania, hatuna kuanguka thluji lakinihuwa tunashuhudia sehemu za baridi kama nyanda za juu kusini na kaskazini zikipata theluji kidogo.
Saudi Arabia hunguka mvua ya barafu labsa mara mbili au tattu kila miaka 10., kwetu huku huita mvua ta mawe.
Tusixhanganye barafu na theluji. Hii ya safari hii ni theluji tena kwa wingi sana.
Baada ya miaka mingine 350,000 jangwa litabadilika na kuwa ziwaThrough my study!