miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
mara chai jaba.. wnamchora domo lake kama linashuka lakini bado anajiamini na kujita sukari ya warembo tehMbona mond amesemwa saaaanaaa wamemuita kila aina ya majina mara domo mara ooh kinywa mara Wamuedit mdomo wake lakn sijasikia hata siku moja akamaind kwl mond ni star
Na ni handsome pia...[emoji6]Ila baraka mweusi sana jamani loh!
Ilikuwa ni lazima alalamike kwenye media fala kweli we cheusi tena mi.naona kajipaka masizi machache mbona mxiuuuu
mbona me naona kama anapanda sana kimuziki tangia amekuw na kiba anazungumziwa sana siku hizi nyimb tatu tu yule je yule mwenzie mo musicbaraka anadhidi kushuka thamani ndani ya kichwa changu, huyu dogo kiukweli ustar unataka kumshinda nguvu mana naskia pia ni mtu wa kujiskia na dharau sana yn.
hivi hili neno mxiuu sijawahi kulielew lina maana ganiIlikuwa ni lazima alalamike kwenye media fala kweli we cheusi tena mi.naona kajipaka masizi machache mbona mxiuuuu
Huo ni msunyo mkuuhivi hili neno mxiuu sijawahi kulielew lina maana gani
hivi hili neno mxiuu sijawahi kulielew lina maana gani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we ni kiboko aiseehuyo baraka ndo nani? au nayeye ni mmja wa walimu wa pale mbeya day
Hajapenda kua mjaluowhy Baraka hajivunii weusi wake??