Baraka Da Prince akasirishwa na utani wa Stan Bakora

Mweuzi akiitwa [HASHTAG]#Mweusi[/HASHTAG] bwana! Haya cheupe mtarajiwa [HASHTAG]#Baraka[/HASHTAG] [HASHTAG]#Munguanakuona[/HASHTAG]
 
Ingekuwa stan ni kumindiwa mbona nay angesha muua maana jamaa anamwiga nay kila kukicha na clip za vtuko akijfanya nay wa mitego?? Baraka asilete wazimu wake wa mkoa wa mata
 
Baraka ni stupid aisee unamuambiaje comedian aache kufanya kazi yake
 
Ukitaka kuuvaa uhusika wa Mzungu, wigi linahusu; vipi jombaa!!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…