Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,404
Ali Kiba ni msanii mwenye "jina" kubwa, lakini hataki kulitumia jina lake kunyanyua chipukizi,hana muda huo,ameshindwa kumtoa mdogo wake 'Abdu Kiba" atawezaje kumtoa Baraka?
.. Kwanini hatumii jina lake "kuwa na record label" au muda bado??? Kwanini hafanyi promo ya nyimbo anazoshirikishwa na wenzie??
Juzi imetoka video aliyoshirikishwa na Baraka Da Prince, kaifanyia promo?? Au mimi sijaona?? Ana mpango gani na Baraka na Abdu?? Je haoni ana uwezo wa kukuza muziki wake kupitia hawa vijana??
Baraka kuwa karibu na Ali anapotea au anazidi kuimarika??
[HASHTAG]#zekitabu[/HASHTAG]