Baraka Da Prince amepotea kwa Ali Kiba??

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
Ali Kiba ni msanii mwenye "jina" kubwa, lakini hataki kulitumia jina lake kunyanyua chipukizi,hana muda huo,ameshindwa kumtoa mdogo wake 'Abdu Kiba" atawezaje kumtoa Baraka?

.. Kwanini hatumii jina lake "kuwa na record label" au muda bado??? Kwanini hafanyi promo ya nyimbo anazoshirikishwa na wenzie??

Juzi imetoka video aliyoshirikishwa na Baraka Da Prince, kaifanyia promo?? Au mimi sijaona?? Ana mpango gani na Baraka na Abdu?? Je haoni ana uwezo wa kukuza muziki wake kupitia hawa vijana??

Baraka kuwa karibu na Ali anapotea au anazidi kuimarika??

[HASHTAG]#zekitabu[/HASHTAG]
 
Sasa Ali Kiba anahusika vipi hapo?! Yeye amesainiwa na Rockstar4000 kama alivyosainiwa Ali Kiba na Kiba wala hawa wajibu wowote kwa Baraka!!
 
Eti Kiba amsaidie Baraka !!!!!! wakati wote wapo kampuni moja rock4000.
 
Duh haya bhana ilimradi tu lawama apate kiba
 
Ubaya wa yule jamaa ni kwamba yeye sio mtumiaji sana wa social network ni kama analazimishwa ndo maana aneza kaa hata wiki haja post kitu bwana yule alivyo stubborn
 
Wewe mtoa post acha kuumwa kwan baraka yuko chn ya ali au rockstar?? BANG
 
Huna uhakika Ali Kiba hajamsaidia Abdu Kiba?!
 
kapotea!!!!
, halafu anajiona kamaliza kisa instagram ana blue tick
msukuma ana demu mweupe
utamwambia nini!!
kumbe mziki ni juhudi ,sio kuimba tuu
 
kafanye research ndo uje kuongea alafu msikariri kwamba kuwa na rekodi label ndo mafanikio record labe zilianza kitambo tangu 2000's lazima utambue kila kitu kinaenda kwa mipango kila mtu anafanya biashara inayomlipa.kama haina faida haimake sense...................[HASHTAG]#SIPENDI[/HASHTAG] UMBEYA#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…