Baraka da Prince amtambulisha Naj nyumbani

Afanye kweli na si ubabaishaji, siku mbili tatu wameachana.
 
Ndio hvyo maana hakuna namna,kwa dar ukitaka kua mweupe lazma unywe maji,ukikaidi hilo u mpoki ni wako maana hakuna namna!!;
 
Hivi huyu Naj, ndo yule aliwahi kutoka na Mr Bluuue.....? Au naMIX naFolder...?
 
Hivi huyu Naj, ndo yule aliwahi kutoka na Mr Bluuue.....? Au naMIX naFolder...?

Mkuu mr blue ndo alimtoa bikra..
Dimond kapiga pia...Madee pia.
Jamaa Kama kweli anataka kuoa amtazame Kwa jicho la 3..
Mtoto ana mapepe flani hivi.
 
Kwa jicho la kiutu uzima bado nashindwa kuiona taswira halisi ya ndoa kwenye nyuso za vijana hao.....maana nina uhakika wameshaonjana hata kabla ya kufikiria kuoana na hapo ndipo ilipoanza kupotea taswira ya ndoa na kuwa na sura za wazinzi wanaotaka kuuweka hadharani uzinifu wao.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…