Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyumba atakuwa kapangishiwa kweli mziki unalipa hivi labda kajeng huk mwanzaKijana Baraka kutoka Mwanza ameonesha nyumba yake ikiwa katika hatua za mwisho za ujenzi.
Hongera sana kwa hatua hiyo kama kweli ni yako maana wasanii ninyi hamuachi usanii kwa kila jambo.
View attachment 416355
Rockstar4000 labda wampe tuzo ya fitna n majungu mana kijana anajua sana fitna za kariakooHongera zake kijana,kajiongeza hajangoja rockstars4000 waje wampe zawadi ya nyumba!
Kwaiyo Ali kiba anangojea rockstar wampe nyumba sasa ivi anajibana kwa gavana wa mombasaHongera zake kijana,kajiongeza hajangoja rockstars4000 waje wampe zawadi ya nyumba!
Acha ushamba nshomileBaraka naee...sa'kwann kaamua kujenga kweny mtelemko?!Nyumba siitaslide hiyo..
Na washkaji wa Nigeria kwake sio number one wa kumpeleka madukani Sauzi beach kununua vifaa vya ujenzi zaidi ya kutumia bidhaa halisi za Kitanzania kuonesha ana upendo na cha kwao.Hongera zake kijana,kajiongeza hajangoja rockstars4000 waje wampe zawadi ya nyumba!
Mbona jamaa yuko poa anaishi maisha ya kawaida na demu wake mzungu sema akiongea ukweli watu huona kama ni majungu!Rockstar4000 labda wampe tuzo ya fitna n majungu mana kijana anajua sana fitna za kariakoo
Kijana kashawekeza vibanda vya kutosha kwa watu wake wakaribu wanalijua hilo sema hapendi kujionesha kwenye mitandao!Kwaiyo Ali kiba anangojea rockstar wampe nyumba sasa ivi anajibana kwa gavana wa mombasa
Wanaume wa mikoani bana [emoji28][emoji28]Mbona imekaa kama inataka kuanguka au kajenga kwenye mawe kwao nyamagana