Baraka Da Prince asapoti wimbo mpya wa Diamond, awashukia wanaompangia cha kuandika

Baraka Da Prince asapoti wimbo mpya wa Diamond, awashukia wanaompangia cha kuandika

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
1,962
Reaction score
1,618
Screenshot_2017-09-29-10-40-50-1.png

This could be a new era in town, yawezekana mlengwa ni yule wa ROCKSTAR4000,
wenyewe husema "Enemy of my enemy is friend."
 
Kama ni page ya kweli basi team kaswida aka wa kupumliwa kuna moto mkubwa unawaka.Huo ni moshi tu aseee
 
Ili jamaa nalichukia aise na weusi wake anajiona kawin sana maisha akati kakuta watu kwenye gemu sa kina AY , joh makini wangekua hivo ingekuwaje...ustaa unamsumbua uyo dogo
Mwanzo wakati yuko team kaswida hamkusema haya???
 
Ili jamaa nalichukia aise na weusi wake anajiona kawin sana maisha akati kakuta watu kwenye gemu sa kina AY , joh makini wangekua hivo ingekuwaje...ustaa unamsumbua uyo dogo
Kumbe na yy ni star
 
Back
Top Bottom