Baraka Da Prince kuwa matatani

ONANI OH NENE

Member
Joined
Jun 14, 2019
Posts
29
Reaction score
28
Habari wana jamii JF, Taarifa zilizonifikia toka juzi kuwa Baraka yuko hoi hajitambui(ICU) inchini Kenya baada ya kumeza kete za madawa. Safari yake Ilikuwa kutoka Kenya kwenda South Africa, alijisahau akaanza kunywa bia ndipo Hali ikabadilika Sana, Kumbe hata kuachana na mpenzi wake kisa madawa na kutoka Rock star sababu alijiingiza Kwenye madawa walimkataza lakini kijana wapi haelewi Kabisa mpaka alitaka kuuza nyumba yake iliyoko jijini mwanza maeneo ya nyamongolo. Unajua wanamziki wanahalibiwa na jamaa hawa wa clouds [emoji343] na [emoji342] jamani pesa tutafute kihalali asante. #
 
Onani oh nene...chu olibhebhe ! Teh teh. Avatar zingine buana!

Hawa vijana baadhi yao katika tasnia ya sanaa, wanahusishwa sana na hizo kashifa.

Inafaa wamulikwe na kuchukuliwa hatua kwa wanaohusika.
 
sasa clouds imeingiaje hapo
 
Clouds FM wanaingiaje hapo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…