Baraka Da Prince kuwa matatani

Sasa clouds ndio wamemtuma afanye huo ujinga?

Huyo ana mauchungu yake anadandia kusingizia watu..

Hana hata aibu kuleta habari za ndugu yake.. sijui ndio kaka wa mama ake au binamu.
 
Kuna one of the interviews alifanya pale Wasafi akaulizwa kuhusu kubadilisha sana magari. Akasema yah me huwa nabadilisha sana magari, yaani siwezi kudumu na ndinga moja kwa muda mrefu. Nkajua tayari katoto kameanza hiyo michezo. Maana kwa mziki gani wa baraka wa kusema maneno hayo
 
Mbona siku hIzi hakuna mavideo ya SA..ukipata jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…