Baraka da Prince ulidoondoka umesimama tena.. Hongera sana... #tokota

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Nampongeza sana sana kijana huyu..kwa kuyumba sana hapa majuzi ila ameweza yashinda mapito na kurejea tena.

Situation aliyokuwa nayo angeweza kujiingiza katika uraibu wa vileo ..madawa na kadhalika. Ila hakufanya hivyo bila shaka alikaa upande wa Mungu.

Wimbo wake huu #tokota mtakubaliana nami ni supa comeback...everything is on point. Hongera sana.
Tunasubiri video. Usituangushe.
 
[emoji276] [emoji276] [emoji276]
 
We jamaa si umeamuakuslimu na kufuata dini ya demu?
Jina lako la.kislamu nani sasa ?
 

Jamaa kajitahidi kwa kweli
 
Jamaa tangu aanze kudate na Huyo dem si mwelewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…