George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Au mashabiki wao hawana MB za kuwawezesha kuingia youtube..!?Labda sababu mtandao unasumbua
Salome wimbo wa taifame naona timing ya kutoa huu wimbo ndo ilikua tatizo...bonge moja ya video ila haiwez furukuta huku kuna salome,kule kuna inde so itakua ngumu
Hapo kwenye timing nafikiri uko sahihi ndugu...me naona timing ya kutoa huu wimbo ndo ilikua tatizo...bonge moja ya video ila haiwez furukuta huku kuna salome,kule kuna inde so itakua ngumu
Mkuu akisubiri hiyo timing atasubiri sana maana WCB kila wakiamka wanatoa hit songs. Muhimu atoe ngoma Kali za kuwanyamazisha WCB.Hapo kwenye timing nafikiri uko sahihi ndugu...
Sasa sijui management ya hawa jamaa ilifikiria nini..?
Ben Pol na Barnaba Boy...Nyimbo anazoimba BEN POL, kama zingeimbwa na mmoja wa hao watoto wa Kigoma, DSM pasingetosha.
aisee umesababisha nimeifungua tena ila sijasikiliza ni wimbo wa hovyo sana kwa upande wangu sijui na wenzangu pia kama wanaona hivyoAu mashabiki wao hawana MB za kuwawezesha kuingia youtube..!?
Ila mimi nimewaongezea viewer leo kwasababu nimeichungulia kidogo video yao...
Pia naamini huu uzi unaweza kuwaongezea viewers wengine..!
Ahahaaaaah...mimi sijawahi hata kuusikia huu mziki
wala kuuona
na sijui kama upo
Mkuu unaujua mziki.Ben Pol na Barnaba Boy...
Huwa nasikitika sana nikisikiliza nyimbo za hawa jamaa...
Uwezo wao(kimuziki) na mafanikio yao havilingani..!