Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmeeeeenHuyu ndo atabaki kama alana kwa kuiga sauti yake
Leo siku ya kutoa heshima za mwisho kwa Jemedari wetu JPM wilayani Chato, Baraka Mwakipesile, maarufu kama ‘Baraka Magufuli’ amepewa nafasi ya kuonyesha kile ambacho alikionyesha siku zote hata mbele ya hayati Rais Magufuli.