Baraka Mpenja, hata mechi ikiwa mbaya huwa anaifanya inakuwa nzuri!

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,504
Reaction score
2,272
Huyu Mtu hata mechi ikiwa mbaya, huwa anaifanya inakuwa nzuri!

Yaani kuna kipaji na Elimu, sasa huyu vyote anatumia....

Aliemuajiri AZAM kongole kwake!

........

Hili ni goli la Simba vs Nkana la kusawazisha mfungaji akiwa Jonas Mkude
(in mpenja voice [emoji1787][emoji1787][emoji1787])

"Mohammed Hussein, Chama Clatous.....JONAS Mkudeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!! Mwanaukome Jonas Mkude, akipokea pasi ice cream ya maziwa kutoka kwa mwamba wa Lusaka, Tripple C, akacontrol na kuachia bomu kalliii....Akashuka na mashetani wekundu jumla jumla

Alan chibwe alijaribu ku-drive, Brother familia inakutegemea, ukitegua nyonga itakuwa madhara kwa familia
Coach Patrick Ausems Ule uchebe mweupe unapepea tu namna hii...
 
Anakwenda na mpira nani yule aaaaah nimemsahau kidogo
 
Mikia mnajifariji.. hayo ya Nkana imebakia historia...
 
Namkubali sana huyu mwamba. Jamaa anajua kuunogesha mchezo wa mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…