The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Karibu binti na mwana wa Afrika.
Moja ya maeneo ambayo yanasumbua na kutesa watu, ni mahusiano, hasa katika mapenzi au ndoa.
Kujiua, kuuwa, kukata tamaa, uraibu, ulevi, uzinzi, roho mbaya, utapeli, wizi, uongo, na maovu mengi husababishwa na Mahusiano au ndoa.
Hakuna siku itaisha na kukuacha salama.
Ukikwepa makazini, maofisini,mashuleni, na kila huyo kwenye shughuli yake. Basi kikwazo utakikuta katika mahusiano, au katika ndoa, nyumbani.
Huwezi kufauru kwenye kila jambo, Yaani mfukoni upo vizuri, maisha mazuri, unachotaka unapata, na kokote unapotaka utaenda.
Una mahusiano na unaempenda, na mnapendana kwelikweli kiasi hakuna malumbano wala kutofautiana.
Haiwezekani, lakini inawe.
Ukifanikiwa katika eneo moja la maisha, eneo lingine utakuwa dhaifu au hata kushindwa kabisa, sababu hakuna mkamilifu chini ya jua. Na eneo moja wapo lenye masikini wengi ni mahusiano ya Ndoa.
Viongozi na wenye mafanikio katika maeneo yao ya kisiasa na kiuongozi, au kiuchumi, wengi hushindwa vibaya katika ndoa.
Sitaji, ila fuatilia wasanii, viongozi, wafanyakazi, biashara, wajasilia mali nawote waliofanikiwa katika eneo fulani.
Ndoa huwa ni mitihani kwao.
Wanaodumu katika ndoa wengi ni masikini na ndiyo wenye kupewa baraka ya uzao. Angalia Afrika linganisha na mabara mengine.
Wengi husema sababu masikini ana waza ngono. ndiyo maana anazaa sana.
Jibu ninalo lakini si lengo, ila kiufupi, Mtu hufanikiwa kule moyo wake ulipo.
Ukiwa na shauku ya kuujenga upendo, ukuta wa kifedha utakushinda.
Mungu aliyeanzisha ndoa, hakukusudia ndoa ziwe vita au ziwe chanzo cha wana ndoa kuwahi viwanja, Janga linalomkabiri sana mwanaume.
Bali alikusudia iwe ni njia ya mwanaume kuvuna baraka, upendeleo na maisha marefu. Na hii ndiyo mada yangu leo.
kabla sijaingia katika mada nitataja vyanzo vya kuanguka kwa ndoa.
Iluminat na freemason katika mpango wa kuondoa uwepo wa mwanamke. Wanaojua kusudio la ushoga, usagaji, ndoa ya jinsia moja. Na kuinuliwa mwanamke watanielewa.
Nimesema wana mpango wa kuondoa uwepo wa mwanamke.
Ndani ya maelezo nimesema wanamuinua mwanamke. Ni nia mbili tofauti na sielezi leo, sababu nataka la leo liishie humu humu.
Ukisoma agizo la maandiko kwa mwanaume ni kuishi na mwanamke kwa akili. Aliyesema mwanamke ni chombo dhaifu ni wazee wa kiarabu na Kiyahudi, ili kumweka mwanamke katika mstari atawalike. ilo nalo sifafanui.
Katika moja ya mada zangu niliwahi sema Adamu ni wewe na Eva pia ni wewe, swali utakaloniuliza ni kuwa Mwanamke na mwanaume walitoka wapi?.
Ukitulia na biblia inasema kwa siku moja Mungu aliumba mwanamke na mwanaume. ikiwa na maana ni mtu mmoja yaani wewe, uwe mwanaume au mwanamke.
Ukiendelea mbele, uumbaji ukiwa umekamilika ndipo anamtenganisha Adamu kwa kunyofoa nyama na mifupa/ mbavu. Ndipo kwa mala ya kwanza wanatokea Adamu na Eva, wawili. Yaani Mwanaume na mwanamke.
Kuna maneno Adamu anaongea baada ya kumuona mwanamke. Nalo sifafanui. ila ukitaka kuamini mafundisho ya kiongizi wako, muulize mbona mwanamke na mwanaume wana idadi sawa ya mbavu?.
Narudia tena Maandiko ni Mafundisho ya kiroho kwa njia ya visa asili.
MADA HUSIKA.
Nitafafanua vizuri katika mada ya Watu wametoka wapi.Niache leo nitililike tu ujifunze kitu.
Biblia inaaagano mawili la kwanza na jipya. Agano ni makubaliano au mkataba.
Agano la kwanza ( la kale ) ni makubaliano baina ya muumba na mtu wa kiroho. kuhusu uumbaji.
Agano jipya ni makubaliano kati ya Mungu na mtu aliyeumbwa kuhusu utekelezaji wa mkataba wa kwanza, yaani kuitunza Dunia na kutiisha kila kilichopo. Mada ijayo utaelewa hili pia.
Huko tulikotoka au alikofukuzwa adamu , katika bustani ya Mungu.
Tuliletwa Duniani ili kuthibitisha kama tuna ufahamu ule tuliotoka nao huko.
Mfano wa adamu kula tunda. ni viumbe roho kujua siri za muumba za kiutendaji. Sasa ili kupima kama huo ufahamu wa kimungu au kufanana na Mungu, Ndipo iliumbwa dunia kama sehemu ya kujaribia ufahamu wa viumbe wa kiroho. Kwa Muumba kuwatengenezea miili ( biblia inasema ndipo Mungu akawavika mavazi sababu walitambua wapo uchi).
Bila kukufafanulia, sababu leo nakufunza kingine si haya.
IPO HIVI.
Umezaliwa katika mwili, toka katika roho. Yaani umevikwa mavazi( mwili), ili uje kuthibitisha kama kweli una ufahamu wa kimungu, na ukifuzu mitiani ya kimwili unarejea katika roho. Ndiyo kufa na kufufuka.
Kufufuliwa ni Roho yako kurejea katika mwili wa kiroho. Ambao ndiyo uliweka makubaliano na Mungu na hapo utaulizwa uliyoahidi ndiyo uliyotenda.
Kama hukufanikiwa kabisa( Uliishi kiuovu), Unarudishwa tena katika dunia ili ujisahihishe.
Hapo kuna majibu ya kwanini huna bahati ya mambo fulani.
Ni hivi. Dunia ni sayari pekee iliyoandaliwa kama kambi ya Mitihani kwa watahiniwa.
Watahiniwa ni roho wa Mungu waliopata ufahamu wa kimungu. Mfano wa kula tunda na kujua mema na mabaya.
Hivyo roho hao wanapokuwa wanasaini makubaliano ya kuja kufanya mitihani. huwa wanachagua maeneo