Rais Samia Anastahili Pongezi Na Heshima Kubwa Sana Kwa Hapa Alipolifikisha Taifa Letu. Amelivusha Nyakati Zote Ngumu Na Za Giza

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili kuungwa Mkono kwa kazi kubwa na njema aliyoifanya ya kulivusha Taifa letu katika nyakati Nguma na za Giza na za Kutisha na kuleta hofu kwa Taifa .

Rais Samia amefanya kazi kubwa na ya kipekee kabisa katika kulitumikia Taifa letu na kuleta nuru na Mwanga Kwenye Maisha ya watanzania. Rais Samia Amewasha taa na kuondoa giza kwenye njia za kimaisha za Watanzania. Rais Samia amemuinua kila mtu aliyekuwa kaanguka,Rais Samia Amemfikia na kumpa faraja , Matumaini na faraja kila Mtanzania aliyekuwa na majonzi na Maumivu .

Rais Samia amekuwa Mfariji wa Kweli wa Taifa letu. Amelia na Watanzania na amecheka na watanzania. Amekuwa mstari wa mbele kila palipojitokeza changamoto mbele yetu kama Taifa kuweza kutatua . Amekuwa Ngao ya Taifa letu. Amekuwa Msingi Imara wa ustawi wa Taifa na watanzania. Mikononi Mwake na katika uongozi wake Taifa letu limeendelea kuwa salama na tulivu . Taifa limeendelea kuwa na mshikamano na umoja wa kitaifa.

Ni kazi ya mikono yake , ni ukubwa wa akili na Maono aliyonayo yamefanya Kama Taifa kuzikabili na kuzishinda changamoto zote . Kama Taifa chini ya Uongozi wake imara ,madhubuti na shupavu tumekuwa washindi kwa kila mtihani uliojitokeza mbele yetu . Tuendelee kumuunga Mkono Rais wetu na tuendelee kuchapa kazi kwa ustawi wetu na Taifa letu. Tuendelee kumuombea Rais wetu Maisha marefu na nguvu za kuendelea kututumikia Watanzania.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20251218-210002_1.jpg
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3663388
Mwashambwa kwenye one,two!
 
Kumbe bado upo. Chapa kazi, chapa kazi Mwashambwa
CCM inahitaji sana juhudi zako
 
Serikali haina pesa.....
 
Hasara sana kwa wazazi waliokuzaa na taifa kwa ujumla.
Uchawa haulipi tafuta kazi halali ya kufanya kenge wewe
 
Huyu mama watu watamkubuka saana,

Huku Arusha kila sehemu kunajengwa, kama sio barabara, basi ni hospitali, au shule, masoko ndo usiseme

Then alivo nasifa anajenga vitu vya maana saana, mashule yote ni magorofa, tena mengine mpaka yana lift kabisa,

Hizo veta ndo usiseme,

Anayekuja atapata taabu sana kujairi watu wa kuviendesha hivi vitu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili kuungwa Mkono kwa kazi kubwa na njema aliyoifanya ya kulivusha Taifa letu katika nyakati Nguma na za Giza na za Kutisha na kuleta hofu kwa Taifa .

Rais Samia amefanya kazi kubwa na ya kipekee kabisa katika kulitumikia Taifa letu na kuleta nuru na Mwanga Kwenye Maisha ya watanzania. Rais Samia Amewasha taa na kuondoa giza kwenye njia za kimaisha za Watanzania. Rais Samia amemuinua kila mtu aliyekuwa kaanguka,Rais Samia Amemfikia na kumpa faraja , Matumaini na faraja kila Mtanzania aliyekuwa na majonzi na Maumivu .

Rais Samia amekuwa Mfariji wa Kweli wa Taifa letu. Amelia na Watanzania na amecheka na watanzania. Amekuwa mstari wa mbele kila palipojitokeza changamoto mbele yetu kama Taifa kuweza kutatua . Amekuwa Ngao ya Taifa letu. Amekuwa Msingi Imara wa ustawi wa Taifa na watanzania. Mikononi Mwake na katika uongozi wake Taifa letu limeendelea kuwa salama na tulivu . Taifa limeendelea kuwa na mshikamano na umoja wa kitaifa.

Ni kazi ya mikono yake , ni ukubwa wa akili na Maono aliyonayo yamefanya Kama Taifa kuzikabili na kuzishinda changamoto zote . Kama Taifa chini ya Uongozi wake imara ,madhubuti na shupavu tumekuwa washindi kwa kila mtihani uliojitokeza mbele yetu . Tuendelee kumuunga Mkono Rais wetu na tuendelee kuchapa kazi kwa ustawi wetu na Taifa letu. Tuendelee kumuombea Rais wetu Maisha marefu na nguvu za kuendelea kututumikia Watanzania.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3663388
In fact,
Rais Dr.Samia Suluhu Hassan ni kiongozi mnyenyekevu aliojitolea kizalendo kuwafanyia kazi waTanzania wote.

Tuna kila sababu ya kumshukuru na kumpongeza kwa namna ambavyo anapambana kulinda umoja, amani na usalama wa waTanzania wote.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili kuungwa Mkono kwa kazi kubwa na njema aliyoifanya ya kulivusha Taifa letu katika nyakati Nguma na za Giza na za Kutisha na kuleta hofu kwa Taifa .

Rais Samia amefanya kazi kubwa na ya kipekee kabisa katika kulitumikia Taifa letu na kuleta nuru na Mwanga Kwenye Maisha ya watanzania. Rais Samia Amewasha taa na kuondoa giza kwenye njia za kimaisha za Watanzania. Rais Samia amemuinua kila mtu aliyekuwa kaanguka,Rais Samia Amemfikia na kumpa faraja , Matumaini na faraja kila Mtanzania aliyekuwa na majonzi na Maumivu .

Rais Samia amekuwa Mfariji wa Kweli wa Taifa letu. Amelia na Watanzania na amecheka na watanzania. Amekuwa mstari wa mbele kila palipojitokeza changamoto mbele yetu kama Taifa kuweza kutatua . Amekuwa Ngao ya Taifa letu. Amekuwa Msingi Imara wa ustawi wa Taifa na watanzania. Mikononi Mwake na katika uongozi wake Taifa letu limeendelea kuwa salama na tulivu . Taifa limeendelea kuwa na mshikamano na umoja wa kitaifa.

Ni kazi ya mikono yake , ni ukubwa wa akili na Maono aliyonayo yamefanya Kama Taifa kuzikabili na kuzishinda changamoto zote . Kama Taifa chini ya Uongozi wake imara ,madhubuti na shupavu tumekuwa washindi kwa kila mtihani uliojitokeza mbele yetu . Tuendelee kumuunga Mkono Rais wetu na tuendelee kuchapa kazi kwa ustawi wetu na Taifa letu. Tuendelee kumuombea Rais wetu Maisha marefu na nguvu za kuendelea kututumikia Watanzania.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili

Shikamoo...Wewe ni miongoni mwa watu ambao ata hawajui rais amefanya nini.You are writing from inner hypocrisy.Kwaufupi tamaa ya kuipata cheo,kazi,kulindwa ikitokea umemuibia rais na serikali ndiyo imekusukuma kuandaa huu Uzi.
Mheshimiwa rais ata akisoma huu Uzi wako ataamini unaandika kwa tamaa zako mwenyewe.Siku nyingine ulete mada fikirishi.Asante
 
Ndugu zangu Watanzania,

Watanzania Tembeeni Vifua Mbeleeee,Laleni bila Hofu, nendeni kokote kule mtakako ndani ya Taifa hili bila Hofu Wala Wasiwasi yoyote ile.

Mkiwa na Imani na uhakika wa kuwa Mpo salama kabisa na Taifa letu lipo Salama Kabisa mikononi Mwa Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu Hodari kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Mama yetu na Rais wetu Mpendwa amejizatiti kikamilifu kuhakikisha Watanzania tunaishi kwa amani na kufanya shughuli zetu bila shida wala tatizo wala hofu wala usumbufu wa aina yoyote ile.

Ndio Maana mnaona Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa maelekezo na Maagizo ya Rais wetu Mpendwa vikikesha usiku kucha na kushinda mchana kutwa vikipiga doria kuwalinda watanzania na mali zao .

Mama yetu yupo kazini Muda wote na yupo macho kila Dakika. Halali kwa ajili yetu watanzania. Moyo wake na akili yake vipo kwa Watanzania. Tushirikiane naye kulilinda Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20251218-210002_1.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Watanzania Tembeeni Vifua Mbeleeee,Laleni bila Hofu, nendeni kokote kule mtakako ndani ya Taifa hili bila Hofu Wala Wasiwasi yoyote ile.

Mkiwa na Imani na uhakika wa kuwa Mpo salama kabisa na Taifa letu lipo Salama Kabisa mikononi Mwa Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu Hodari kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Mama yetu na Rais wetu Mpendwa amejizatiti kikamilifu kuhakikisha Watanzania tunaishi kwa amani na kufanya shughuli zetu bila shida wala tatizo wala hofu wala usumbufu wa aina yoyote ile.

Ndio Maana mnaona Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa maelekezo na Maagizo ya Rais wetu Mpendwa vikikesha usiku kucha na kushinda mchana kutwa vikipiga doria kuwalinda watanzania na mali zao .

Mama yetu yupo kazini Muda wote na yupo macho kila Dakika. Halali kwa ajili yetu watanzania. Moyo wake na akili yake vipo kwa Watanzania. Tushirikiane naye kulilinda Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3675105
uharo plus plus
 
Watoto wenye baba dizain yako! Bilashaka hao watoto ni kama yatima tu.
 
Huyu hata huwa haeleweki. Muuaji wa watanganyika. Dhalimu sana huyu mama.
 
Usalama upi?
Ule wa Chande wa mauaji ya zaidi ya mia tano?
Je ni ule unaoaminika na jumuia za kimataifa wa zaidi ya wahanga elfu kumi?
Ni usalama aliopata Ally Kibao. Soka.Mbise.Kangoye.Polepole na wengine lukuki waliotekwa na kupotezwa na watu wasio kamatika?
Acha ujinga.
 
Back
Top Bottom