Baraka (Sauti ya Radi) Mpenja autosa utangazaji Azam? Kutoka ulingo wa Soka hadi kugeukia Uigizaji

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Kwa muda mrefu, jina la Baraka Mpenja limekuwa sawa na simulizi ya soka la Tanzania. Sauti yake ilibeba hisia za mechi, ikiwasha ari ya mashabiki na kuwafanya wahisi kila mpira uliopigwa uwanjani. Lakini sasa, upepo umebadilika, SAUTI YA RADI kuelekea kwenye sanaa ya uigizaji.

Ni mabadiliko yasiyoepukika kwa wengi wenye vipaji vikubwa. Mafanikio kwenye sekta fulani hayawezi kumaanisha kuridhika milele. Inawezekana alikuwa kileleni kwenye utangazaji wa soka, lakini ndani yake kulikuwa na kiu ya kufanya kitu kingine. Labda ni hamu ya kujaribu upeo mpya au safari ya kutafuta kile kinachomletea utoshelevu wa kweli.





Your browser is not able to display this video.
 
Hio komment uliyotoa pale juu sio ya kiume kabisa,ndio maana umejibiwa hivyo,kama ananuka mdomo ulishindwa nini kumwambia?

Hapana, comment sikutoa mimi ila nimeshangaa jinsi mlivyoichukulia personal ndio maana nikawaambia mpige miswaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…