Baraka za ndoa zachachamaa kwaya ya Kwetu Pazuri ya Rwanda

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Mwezi December 2014 utakuwa wa kukumbukwa kwa kwaya maarufu Afrika mashariki na kati ya Ambassadors of Christ kutoka kanisa la Sabato Remera Kigali nchini Rwanda, baada ya kushuhudia waimbaji wake wakongwe wakifunga pingu za maisha kila mtu kwa wakati wake.

Aliyefungua dimba kwa mwezi Disemba 7 ni mwimbishaji wa nyimbo nyingi za kwaya hiyo kijana Jimmy Bizimungu aliyefunga ndoa na mpenziwe na aliyefunga mwaka ni mwanadada Pepe Patience aliyefunga ndoa na mpenzi wake aitwaye Webb (mzungu). Harusi zote zilifanyika jijini Kigali nchini Rwanda huku kwaya ya Kwetu pazuri ikishiriki bega kwa bega na maharusi hao.













Chini ni picha ndoa ya Jimmy





Chanzo:gospelkitaa
 
Masikini mwimba kwaya kaolewa na mzungu mla tigo!
 
mwenyr namba za sarah uwera wadau...hyu binti nampenda sana.
 
Na hawa wengine vipi washaolewa? Kama bado na mimi niokoke...




 
Ya sara ninayo ila n wiki sasa hapatikani labda alikuwa bze na hiz harusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…