Baraka za ndoa zachachamaa kwaya ya Kwetu Pazuri ya Rwanda

Uzee ni suala la kukemea kabisa ushindwe na unyong'onyee!
wivu unakusumbua wame pendana wenyewe mambo ya uzee hayakuhusu mbona wewe umeolewa na kikonge cha miaka 95 kuna aliyekuuliza.
 
ukishajua itakusaidia nini unataka ukaolewe na wewe na mzungu

Hapa umekurupuka ☺😮. Pole sana.

Mleta mada ameandika "ameolewa na mzungu mzee". Mimi nimemuuliza kistaarabu "wanaumri gani"? Hii itasaidia kupata hitimisho kama ni mzee au la, kama hoja yake inavyojieleza.
 

Mkuu hapa umemaliza kila kitu. Kwa muonekano wa huyo mzungu, ingrkuwa kwao huko ulaya ndoa ingesubiri sana.

Wazungu vijana hawapendi kuolewa na waafrika ila ule mchezo wanaucheza sana na waafrika 😅
 
Hapa umekurupuka ☺. Pole sana.

Mleta mada ameandika "ameolewa na mzungu mzee". Mimi nimemuuliza kistaarabu "wanaumri gani"? Hii itasaidia kupata hitimisho kama ni mzee au la, kama hoja yake inavyojieleza.
ukishajua ni mzee itakusaidia nini
 
Mapenzi kwa wengine ni kama uchizi hakunaga logical thinking.
 
wewe ndo ulikuwa na kiherehere cha kujua mambo yasiyokuhusu

Nahisi wiki hii kuna watu mmeamua kunitafuta ubaya.

Rudi kwenye bandiko namba 1 (#1): lisome, kisha pitia mabandiko yangu, pengine utapata jibu unalolitafuta.
 
wivu unakusumbua wame pendana wenyewe mambo ya uzee hayakuhusu mbona wewe umeolewa na kikonge cha miaka 95 kuna aliyekuuliza.
Hujanielewa, mimi sikuzungumzia mzee nimezungumzia uzee kwa maana ya kwamba uzee sio issue kwenye suala la mapenzi. Mambo mengine yanataka utafakari kabla ya kumshambulia mtu. Siku maanisha kuwa huyo aliyeitwa mzee ndiye akemewe. Kwanza uzee ni jinsi unavyofikiria akilini lakini mzee anaweza kuwa bora kuliko mwenye umri mdogo. Pole kwa kutokunielewa. Kwa ufupi kwenye mapenzi hakuna umri na ndio maana kwa wenzetu wazungu kumuuliza mtu umri wake huwa inakuwa ni suala wasilo lipenda sana. Read between the lines!
 
yameisha tumepishana kauli .
 
karibuni sana mawifi na mashemeji

cc Amavubi
 
Jinsi hawa mabwege wanavyohangaika na vipochi manyoya vya dada zetu nami kulipiza kisasi nagonga kipochi manyoya cha kihindi. Wanaume kibao wa kiafrika mabarobaro tupo wewe unajipeleka kwa mzee kisa ana pensheni kubwa, pumbav zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…