JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Usivae barakoa pindi unapokuwa katika shughuli zinazopelekea barakoa kuloa kama kuogelea, ukinyeshewa na mvua ama shughuli yoyote inayohatarisha barakoa kuloana.
Barakoa mbichi husababisha kushindwa kupumua vizuri. Ni vizuri zaidi kwa watumiaji wa barakoa za kufua (vitambaa) wasubiri zikauke ndipo watumie tena.
Vilevile unaweza kupiga pasi barakoa yako mara baada ya kukauka ili kuua vijidudu.