Barakoa milioni 89 zilizochini ya kiwango zakamatwa

Barakoa milioni 89 zilizochini ya kiwango zakamatwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
China imkamata barakoa milioni 89 za barakoa zilizotengenezwa chini ya kiwango. Hitaji la barakoa limeongezeka baada ya mataifa mengi duniani kuzihitaji ili kupambana na #CoronaVirus

Nchi kadhaa zimerudisha barakoa hizo za kutumiwa na wahudumu wa afya na watu walioko katika hatari ya kupata maambukizi. Spain, Netherlands na Uturuki na Canada ni baadhi ya nchi zilizolalamikia

Mamlaka za udhibiti wa masoko zilichunguza wafanyabiashara milioni16 na kukamata barakoa milioni 89 zilizokuwa chini ya kiwango

Ili kudhibiti bidhaa zilizo feki, China imeweka sheria inayowataka kutengeza bidhaa zinazokidhi viwangi vya nchi zinapoenda. Wasafirishaji wa bidhaa watajaza fomu kuthibitisha kwamba bidhaa zinakidhi vigezo ya nchi zinapoenda

1587966648003.png

=====
China has confiscated over 89 million poor quality face masks, a government official said Sunday, as Beijing faces a slew of complaints about faulty protective gear exported worldwide.

Demand for protective equipment has soared as nations across the globe battle the deadly coronavirus, which has infected nearly 2.9 million people.

But a number of countries have complained about faulty masks and other products exported by China, mostly for use by medical workers and vulnerable groups.

As of Friday, China's market regulators had inspected nearly 16 million businesses and seized over 89 million masks and 418,000 pieces of protective gear, said Gan Lin, deputy director of the State Administration of Market Regulation, at a press conference.

Regulators had also seized ineffective disinfectants worth over 7.6 million yuan ($1.1 million), she said.

It is unclear how much of the confiscated goods were destined for markets abroad.

In a bid to eliminate poor-quality products, China released new rules Saturday saying even non-medical masks must meet both national and international quality standards.

Exporters must file a written declaration that their medical products meet the safety requirements of the destination country, the ministry of commerce said in a statement.

The tighter rules come after several countries including Spain, the Netherlands, Czech Republic and Turkey were forced to recall hundreds of thousands of shoddy masks and pieces of protective gear imported from China.

The Canadian government last week said that about one million face masks purchased from China failed to meet proper standards for healthcare professionals.

Dutch health officials last month recalled over half a million Chinese masks -- which had already been sent to hospitals – after complaints that they did not close over the face properly, or had defective filters.

According to official figures, China's daily mask production has passed 116 million.

In the first two months of the year, a staggering 8,950 new manufacturers started producing masks in China, according to business data platform Tianyancha.

Despite the nationwide crackdown, businesses were continuing with illicit production of medical equipment since it was a way to earn "quick money" Jin Hai, a Chinese customs official said earlier this month.

Over 31.6 million faulty masks and 509,000 protective suits destined for export had been confiscated by port officials as of mid-April, he said.
 
....
Ili kudhibiti bidhaa zilizo feki, China imeweka sheria inayowataka kutengeza bidhaa zinazokidhi viwangi vya nchi zinapoenda. Wasafirishaji wa bidhaa watajaza fomu kuthibitisha kwamba bidhaa zinakidhi vigezo ya nchi zinapoenda
....
... hizo nyingine blah blah tu; para ya msingi kwenye hiyo habari ni hiyo - "... bidhaa zinakidhi vigezo vya nchi zinapoenda". Sijui kwa Tanzania vigezo vyetu ni vipi!
 
... hizo nyingine blah blah tu; para ya msingi kwenye hiyo habari ni hiyo - "... bidhaa zinakidhi vigezo vya nchi zinapoenda". Sijui kwa Tanzania vigezo vyetu ni vipi!
Ndio kama hizo za vifungashio watu wanazo vaaa mkuu!
 
... hii inathibitisha China ndiye mama wa bidhaa feki duniani!
Ata ulaya wanatufanyia hivyo hivyo mkuu!
Adi pale tutakapo weza kutofautisha na kuweka vigezo vyetu!
Ulishawahi sikia ata gari moja ya Toyota iliyo kuja Africa kurudishwa kwa sababu ya hitilafu za kiufundi zilizo gunduliwa!
Au Gari za Toyota zinazo kwenda ulaya ni sawa na zinazo kuja Africa!
 
... ukishasema "hitilafu za kiufundi" hiyo sio fake Mkuu; vitu vingine vinatokea beyond human control. Bidhaa fake hutengenezwa hivyo purposely na kama nilivyosema awali, China ni mama lao!
 
... ukishasema "hitilafu za kiufundi" hiyo sio fake Mkuu; vitu vingine vinatokea beyond human control. Bidhaa fake hutengenezwa hivyo purposely na kama nilivyosema awali, China ni mama lao!
Mkuu kwenye ulimwengu wa biashara ulaya walishagundua kuwa high Quality sio biashara! Mitambo wanayoleta ama wanayotengemeza sasa hivi sio ile ya miaka 90 au 70!!! Kila siku wanazidi kwenda kwenye quality ya chini! Ana kuja mtu kutoka Italy na bidhaa zake Ana kuambia dollar 30,000 una mwambia acha utani me nina yaki china inapiga kazi usiku na mchana dollar 16,000 kichwa kina muuma ana kuambia sio kiwango kama yake una mwambia ina miaka 3 imerudisha pesa sasa hivi nina pata profit!!! Akirudi Italy atafanya nini!?
 
... umenikumbusha mfano wa Scania/DAF/Benz/FIAT vs Yutong/FOTON/JIEFANG FAW! Siku hizi matajiri wa kibongo wamehamia Yutong and the like. Je, Yutong inayouzwa soko la Tanzania ndio ile ile inayouzwa soko la Marekani au EU?
 
kwa nini wauguzi wanaugua corona kuliko wagonjwa ???
 
... hii inathibitisha China ndiye mama wa bidhaa feki duniani!
Ni kweli na cha ajabu US iliteka meli kutoka China iliyokua inapeleka barakoa na vifaa vingine huko Canada,Germany etc

Hio inadhihirisha mpk US inapenda vitu feki from China mpk inaviteka kilazima.
 
... hii inathibitisha China ndiye mama wa bidhaa feki duniani!
China ndiye mama wa bidhaa zinazoendana na pesa yako!

Ukitaka ununue barakoa kwa jero, usiote barakoa hiyo iwe kama ile aliyowahi kulingishia Mo-Dewji... HAIWEZEKANI!!

Uzuri wa China hata ukitaka barakoa za mia mia, watakutengenezea tu!!
 
... ndio ufeki wenyewe huo. Kutengeneza na kuuza bidhaa isiyokidhi malengo (barakoa isiyozuia maradhi) kisa pesa ina maana gani. Kwenye specs za bidhaa za aina hiyo waeleze kabisa kwamba ziko chini ya viwango ili mnunuzi aelewe badala ya kukaa kimya as if ni genuine.
 
... umenikumbusha mfano wa Scania/DAF/Benz/FIAT vs Yutong/FOTON/JIEFANG FAW! Siku hizi matajiri wa kibongo wamehamia Yutong and the like. Je, Yutong inayouzwa soko la Tanzania ndio ile ile inayouzwa soko la Marekani au EU?
Mkuu biashara Duniani kote ni wewe una juwa nini?
Unataka nini!?
Kwa mkataba maalum wenye vigenzo na mashari ya quality husika!!
Wafanyabiashara wote wanapofika china hupewa Quality tofauti tofauti mwisho huchagua wao kulingana na nguvu yake na uelewa wa wateja wake
 
... ndio ufeki wenyewe huo. Kutengeneza na kuuza bidhaa isiyokidhi malengo (barakoa isiyozuia maradhi) kisa pesa ina maana gani. Kwenye specs za bidhaa za aina hiyo waeleze kabisa kwamba ziko chini ya viwango ili mnunuzi aelewe badala ya kukaa kimya as if ni genuine.
Waulize Wahandisi au hata wajenzi wa kawaida wakueleze wateja walivyokuwa pasua kichwa!!

Mtu atakuambia kabisa kwa elevation kama hii, lazima upate nondo kiasi kadhaa, saruji mifuko kadhaa, udongo, mchanga na kokoto kiasi kadhaa, makashi kashi mengine kiasi kadhaa, na total piga ua, inabidi uwe na angalau 5M.

Pamoja na yote hayo mtu anakuambia yeye ana 2M, na hapo hapo "anakutisha" kama haiwezekani aende kwa fundi mwingine!!

Na Mteja mwenyewe hapo awe mwana-JF ambae amewahi kuona "ushuhuda" JF wa mtu kujenga ghorofa kwa 50M, basi ndo taabu tupu!!

Wapo Mafundi wenye upako watakaokuambia mtafute fundi mwingine, lakini majority ukimpa pesa yake, atakujengea msingi wako wa 2M uliyotaka! Ndo pale hata bati hujaezeka, "expansion joints" hizi hapa...
 
Back
Top Bottom