Mimi pamoja na kufanya kazi hospitalini kwa muda wa miaka kumi sasa sikua nafahamu kuwa musk inaitwa barakoa kwa kiswahili, vipi wewe mdau,je ulikua unajua kuwa musk inaitwa barakoa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.