Nikifika hapo nawapatajePata barakoa kwa 40,000/= (50pcs) tupo ESAURP village (karibu na Mlimani city, kuelekea Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam).
Ile kamupuni ya construction bado ipo?Pata barakoa kwa 40,000/= (50pcs) tupo ESAURP village (karibu na Mlimani city, kuelekea Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam).
Uzalendo Installer,
Siyo kwamba tumesahau kwamba CORONA bado ipo?? Si unaona bado kwenye daladala tunakaa seat level. Mwendokasi bila Barakoa hupandi, Shule za awali na Msingi bado hazijafunguliwa.
Anyway, acha tusubiri na muda utaamua kama ni wrong timing ama vipi.
Asante sana kwa maoni yako.
Pole sanaNdugu wana JF, karibu ujipatie barakoa safi kabisa kwa bei chee. Tunauza Tsh 55,000 tu kwa Box lenye barakoa 50 ndani. Ndani ya Jiji la Dar utaletewa hadi ulipo, na mikoani tutakutumia kwa njia ya Bus (Gharama ya usafiri utalipia, mara nyingi kwa Box 1 haizidi 5,000).
Karibuni sana.
Mzigo upo wa kutosha kabisa, kama unavyoonekana katika picha nilizo ambatisha.
Mawasiliano: 0766 897 999.
View attachment 1468298View attachment 1468299View attachment 1468300View attachment 1468301View attachment 1468302
Ingia ESAURP kaunta utanikutaNikifika hapo nawapataje