M Muite JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 2,971 Reaction score 6,607 Jun 29, 2023 Thread starter #21 Mtoto wa Shule said: Afadhali hao wanajengewa kilometa Moja kwa mwaka. Sisi kwetu huku wanajenga mita 400 kwa mwaka kwa barabara ya kilometa 1.7 tena kwa kutumia lami nyepesi! Ahahahahaha!!! Click to expand... Kwa kweli inasikitisha sana
Mtoto wa Shule said: Afadhali hao wanajengewa kilometa Moja kwa mwaka. Sisi kwetu huku wanajenga mita 400 kwa mwaka kwa barabara ya kilometa 1.7 tena kwa kutumia lami nyepesi! Ahahahahaha!!! Click to expand... Kwa kweli inasikitisha sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 1, 2023 #22 Inasikitisha sana...
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Aug 13, 2023 #23 Muite said: Ukute eti na wewe ni Mtu unayeheshimika sana katika UKOO WENU Click to expand... Yaani mi ndo mdogo kuliko wote, na swaga zangu unaziona. Sasa ukutane na dingi, utazimia!
Muite said: Ukute eti na wewe ni Mtu unayeheshimika sana katika UKOO WENU Click to expand... Yaani mi ndo mdogo kuliko wote, na swaga zangu unaziona. Sasa ukutane na dingi, utazimia!