Elections 2010 Baraza jipya la mawaziri

Kama ni kulipa fadhila basi tumemsahau mtu muhimu sana.Malaria Sugu atakuwa waziri katika ofisi ya rais utawala bora!!!
 
Wewe unaangalia elimu y darasani? Ok, Mbowe na Sungu elimu yao level gani? Acheni ushabiki. Kuwa waziri lazima uwe mbunge. Sasa huyu salama na ridhiwani ni wabunge?
Sasa si utuambie elimu ya Mbowe na Sugu....
 
Crashwise achachana na hao mambumbumbu wa ccm ( GeniusBrain, Emt na DMussa ) Mbowe O'level, na Sugu O'level. Tatizo hawa jamaa wa ccm walikuwa wamekariri uongo wa Benson Mpesya wa ccm.

Mbowe kwa sasa ana taaluma ya management ya Biashara na Utawala (BMA).
 

Kila anayekupinga unafikiri ni CCM. Ukikosolewa kubali au jibu hoja badala ya kuanza kutuchakachua kuwa sie ni watu wa CCM
 

Kumbe MAFISADI unawajuaeeeeeeee!!!!! teh teh teh teh!!!!!!!
 
Kila anayekupinga unafikiri ni CCM. Ukikosolewa kubali au jibu hoja badala ya kuanza kutuchakachua kuwa sie ni watu wa CCM

Hasa wewe unaonyesha kabisa ni CCM damu, na jinsi ulivyo hata CHUPI umevaa ya njano au kijani
 
No,Presida Dr. Kikwete, PM Lowasa, Elimu Prof. Maji Marefu na Shehk Yahaya (viti maalum)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…