Taratibu za nchi zinasema Waziri Mkuu shurti awe mbunge wa kutoka jimboni, sio ule ubunge wa kuteuliwa au viti maalum kama wa Vicky !
Taratibu za nchi zinasema Waziri Mkuu shurti awe mbunge wa kutoka jimboni, sio ule ubunge wa kuteuliwa au viti maalum kama wa Vicky !
Usawa upi.......??? Ukubwa wa nyeti au.........??? Maana kama ni usawa wa mawazili mbona wote umesema ni wanawale..........???Mheshimiwa Jakaya Kikwete amedai kuwa baraza lake jipya la mawaziri halitakuwa na mwanaume hata mmoja. Amesema kuwa kuanzia mawaziri hadi manaibu wote watakuwa wanawake ambapo waziri mkuu atakuwa ni Vicky Kamata.
Hii ni katika kuimarisha usawa wa jinsia nchini.
Na baado na mpaka wakuu wa mikoa wote watakuwa ni wanawake!