Baraza la Habari latoa ufafanuzi kupigwa marufuku kuripoti hbari za Uamsho

Baraza la Habari latoa ufafanuzi kupigwa marufuku kuripoti hbari za Uamsho

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
858
Reaction score
130
[h=1]BARAZA LA KHABARI TANZANIA MCT LASHITUSHWA NA KUZUIWA VYOMBO VYA KHABARI BINAFSI ZANZIBAR KUZUIWA KUTANGAZA TAARIFA ZA UAMSHO[/h]Written by Harith // 03/11/2012 // Habari // No comments


BARAZA LA HABARI TANZANIA MCT LIMESEMA KUWA LIMESHTUSHWA TAARIFA YAKUZUIWA KWA VYOMBO VYA HABARI VYA ZANZIBAR KUTANGAZA KHABARI ZINAZOHUSIANA NA JUMUIYA YA UAMSHO NA MIHADHARA YAKIISLAM ZANZIBAR.
HAYO YAMEELEZWA JANA NA KAIMU KATIBU MTENDAJI WA BARAZA HILO NDUGU JOHN MIRENYI WAKATI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA KHABARI KATIKA UKUMBI WA MCT MLANDEGE MJINI ZANZIBAR.
BARAZA HILO LIMEONGEZA KUWA LINAAMINI KUWA SI VIZURI KUINGILIAA UHURU WA VYOMBO VYA KHABARI NA WAHARIRI.
AIDHA MIRENYI AMEVITAKA VYOMBO VYA KHABARI VYA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR KUFANYA KAZI ZAKE BILA YA WOGA,UPENDELEO NAKUZINGATIA MAADILI NA KANUNI ZINAZOONGOZA UANDISHI WA KHABARI.
AMESISITIZA KUWA LICHA YA BARAZA LA KHABARI TANZANIA KUTAMBUA NAKUTETEA KWA NGUVU ZOTE KUWEPO KWA UHURU WA VYOMBO VYA KHABARI NAKUJIELEZA VYOMBO VYA KHABARI VINA WAJIBU WAKUJIEPUSHA KURIPOTI KHABARI ZA UCHOCHEZI WOWOTE UNAOWEZA KUHAMASISHA CHUKI KWA JAMII NA HATIMAYE KUVURUGA AMANI YA NCHI.
TAMKO HILO LA MCT LIMEKUJA KUFUATIA HATUA YA HIVI KARIBUNI YA TUME YA UTANGAZAJI ZANZIBAR KUPIGA MARUFUKU MATANGAZO YOTE YANAYOHUSIANA NA VURUGU ZINAZOHUSISHWA NA JUMUIYA YA UAMSHO NA MIHADHARA YAKIISLAM ZANZIBAR KWA VITUO VYOTE VYA RADIO NA TELEVISHENI BINAFSI HAPA NCHINI.
KIONGOZI HUYO AMEELEZEA HAJA KWA VYOMBO VYA KHABARI KUZINGATIA UWAJIBIKAJI NA KUWA MAKINI ILI KUEPUKA KUCHOCHEA VURUGU.

Bonyeza kwa maelezo zaidi
ZanziNews : Baraza la Habari latoa ufafanuzi kupigwa marufuku kuripoti hbari za Uamsho
 
ingelikuwa hii topic inahusu maandamano ya chadema ingejaa comment balaaaaaaaaaaaaa.
 
ingelikuwa hii topic inahusu maandamano ya chadema ingejaa comment balaaaaaaaaaaaaa.

he! kumbe humu jf wamejaa cdm eenh? kama vp basi 2anzieni tawi rasmi humu au mnasemaje?
 
UAMSHO ni magaid si habari zao tu zizuiwe, hata kutembea nje wazuiwe wawekewe vizuizi vya majumbani!
 
Back
Top Bottom