Hehehe
nimecheka sana hizo post hapo juu.
anyway tuone if blue litmuspaper itachange to red
Kwa nini tuna hii attitude sisi watanzania?? Hilo baraza nadhani lina kawaida ya kukutana mara kwa mara kwa ajili ya kureview mambo mbalimbali yanayohusiana na wizara zao/serikali kwa ujumla.
Nashangaa kuona wewe unataka upate update? Za nini? Kama wangetaka iwe news si watu wa media wangeitwa? I think we need to spend more time working than speculating what the cabinet meeting will/is expected to come up with!!!

extra ordinary meeting lazima kuwe na issue nzito, hawaitani tu kama mnavyoitana jioni kwenye vikao vya mbege na dengerua.
sasa Watz wameamka, wanadadisi kila jambo hii ni katika kulinda mustakabali wa nnchi yao, sasa hivi hata ukiongea na mkeo juu ya kuhujumu nchi ujue kesho watu wote wamejua, hii ni nzuri sana.
Kutwa leo ndani ya Kikao cha Baraza la Mawaziri (Extra Odinary Meeting)Walioko kiungani tupeni yanayojili.
100% ujakosea alikuwa napata upashikuna wa harusi kufuruu???Labda anapewa newz za harusi ya binti Lowassa