Communist
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 5,400
- 1,182
Jumanne hii, kutakuwa na Mkutano mkubwa wa hadhara katiika kiwanja cha shule ya msingi K Ndege. mkutano huo utaratibiwa na Katibu mkuu wa CHADEMA na timu yake. Sharashamra zitaanza saa nane mchana na mkutano saa kumi jioni. wananchi wote wanakribishwa. njoo kutoa maoni yako bila kuingiliwa au kuandikiwa. Tunaamini unaweza kutoa maoni.
Stay tuned for more updates
Stay tuned for more updates