Baraza La Katiba Morogoro, Jumanne. K Ndege. Dk Slaa na Timu Yake kutinga Kwa Chopa

Communist

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
5,400
Reaction score
1,182
Jumanne hii, kutakuwa na Mkutano mkubwa wa hadhara katiika kiwanja cha shule ya msingi K Ndege. mkutano huo utaratibiwa na Katibu mkuu wa CHADEMA na timu yake. Sharashamra zitaanza saa nane mchana na mkutano saa kumi jioni. wananchi wote wanakribishwa. njoo kutoa maoni yako bila kuingiliwa au kuandikiwa. Tunaamini unaweza kutoa maoni.

Stay tuned for more updates
 
Kila la heri, wana moro hiyo ni haki yenu! Kwa pamoja tunaweza!!
 
mwingulu wapeleke yanga wakacheze na mtibwa na kiingilio iwe bure...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…