Mwan mpambanaji
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 482
- 131
Ndo maajabu hayo!!Mbona meya alichaguliwa na akidi haikutimia!???
Kikao cha baraza la madiwani arusha cha kupitisha bajeti kimeshindwa kukaa baada ya madiwani wa chadema kukataa kurejista,hali iliyofanya akidi kutotimia
Sheria inataka bajeti ipitishwe na theluthi mbili
Hasa kwa JKMwaka huu mzuri
Ngoja tukae mkao wa kula...Hicho ni kionjo tu tusubiri mlo kamili!
Kwa hali ilivyo kwa sasa mtumishi anaekula pesa ya halimashauri ya Arusha basi ana roho ngumu kama ya paka maana haijulikani kesho nani atakuwa meya anawasiombe awe kutoka CDM...Hii ni habari njema kwa Watumishi wa Halmashauri, watasheherekea ili waendelee kuzitafuna. Ni madiwani wachache tu (bila kutaja vyama) wanaoweza kuangalia beyond their noses.
Hao madiwani tumewachagua watutumikie, siyo kufanya usanii kwenye masuala muhimu.
Huo ni uhuni wanatufanyia sisi wapigakura wao.
Sasa tumewaelewa. Hatutadanganyika tena kuwachagua.
Hao madiwani tumewachagua watutumikie, siyo kufanya usanii kwenye masuala muhimu.
Huo ni uhuni wanatufanyia sisi wapigakura wao.
Sasa tumewaelewa. Hatutadanganyika tena kuwachagua.