Baraza la Mawaziri 2020 Halina Ukanda, Udini wala Ukabila!

Kuna tathmini ya kawaida sana katika Baraza jipya!!

Wanawake 4
Wanaume 19.

Waislam 3
Wakristo 20.

Sukuma na kanda ya ziwa nusu ya mawaziri
Wanawake enzi za JK ilifika 40%
Leo 4%.
Mawazo ya kizamani,nilitegemea uchambue kuwa wazir huyu hafai ukimlinganisha na mtu mwingine
 
Una hoja, lkn pia una viroja.

Unaona sio haki Phd holder kulipwa mshahara sawa na std 7 bungeni,.. kwani hiyo Phd ni ya ubunge!?

Kama mtu anataka 'atazamwe zaidi' kwa sababu ya vyeti vyake si abaki tu kwenye taaluma yake!
Well said, uncgeweka tu hoja hapa bila mihemko mkuu, tehis is JF, kila mtu anatoa hoja and learn from one anotheor, no hate at all
 
Hesabu hapo wana kanda ya rubondo ni wangapi?
 
Ndio si mbunge wa ccm aliyepita bila kupingwa hivyo anastahili!!! Ccm oyeeee!
Ukimpa Babu tale uwaziri yale anayofanya diamond platinumz ndiyo yatafanywa na Tale, kuzalisha wanawake na kuwadhalilisha kisha kuwaacha, maana Dai karidhi tabia kwa meneja wake
 
hiii nchiii bado itadhidi na itabaki kutawaliwa na wachagga kimaendeleo na kielimu pia maswala ya uwaziri sijui nini haiumizi watu kama pesa inaingia it enough
 
Hii ni another example of pure rhetoric na parochial ya UCHADEMA as has been propounded by Lissu as directed by Bob and Company. By the way, mnaendeleaje na ukimbizi!?
 
Hii ni another example of pure rhetoric na parochial ya UCHADEMA as has been propounded by Lissu as directed by Bob and Company. By the way, mnaendeleaje na ukimbizi!?
Superb, we wish you a merry christmass, forget not to greet family of alphonce mawazo, Saa 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…