Baraza la mawaziri la mwanzo kwa Tanganyika/Zanzibar.

Wanahusikaje sasa na thread yangu? Mnalalamikia mfumo wa elimu yetu ni mbovu labda na wewe ni zao la huu mfumo.

wewe ni miongoni mwa wale watanzania wavivu ku research, yaani kila kinachokuijia kichwani unakuja ktk forums na kuuliza, have you tried to go tanganyika library and look for the information/details that you have requested hapa. au ukishalijua baraza la mawaziri la wakati wa uhuru utaridika. dont you want more details?
 
Dah! Hivi kweli kwa mchanganyiko huu unaweza mtu ukamtuhumu huyu bwana kwa udini kweli? Muogopeni Mungu aisee! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Mpango mzima wa mapinduzi inaonekana ulipangwa vizuri sana na hivi vichwa, lakini inasikitisha sana namna Okello alivyopotezwa katika historia ya mapinduzi licha ya kazi kubwa aliyofanya.
 
samahani mama mdogo wewe una miaka zaidi ya 80 ,au uliwahi kuwa kiongozi au ni mwanan historia au nikufuatilia kuhusu nchii kwani nimegundua una ufahamu mpana kuhusu nchi hiii hususani historia ya zamani ikizingatiwa wewe ni mwanamke ,huwa nafurahi sana kwa fafanuzi zako
 

Mimi siyo mzee kiasi unachowazia, mimi ni middle aged, mimi sijawahi na sitarajii kuwa kiongozi nchini, bali mimi ni mtafiti
 
Mimi siyo mzee kiasi unachowazia, mimi ni middle aged, mimi sijawahi na sitarajii kuwa kiongozi nchini, bali mimi ni mtafiti
ahahaha basi we ni hatari ur a great thinker indeed
 
Napenda kusahihisha ya kuwa Rais Abeid Karume hajawahi kuwa waziri ni Rais wa Zanzibar, yeye ndie aliyekuwa muamuzi kwa kila jambo la ZANZIBAR na sio kama kapewa wizara fulani kama munavyoeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…