kipipili
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 1,587
- 186
katika mkutano wake wa kampeni huko Arusha Dr. Slaa ameahidi kuunda baraza la dogo la mawaziri ambao hawatazidi 20 ukichanganya na manaibu wao, wizara zitakuwa kama ifuatavyo:
1.fedha na uchumi (kilimanjaro)
2.ulinzi na jkt
3.mambo ya ndani
4.mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa (dar es salaam)
5.elimu, sayansi na teknolojia
6.afya na ustawi wa jamii
7.kilimo na ushirika (kanda ya ziwa)
8.maji, nishati na madini (kigoma)
9.mawasiliano na uchukuzi
10.tamisemi
11.sheria na katiba (singida)
12.utumishi na utawala bora
13.viwanda na biashara (kilimanjaro)
14.maliasili, utalii na mazingira
15.ardhi na maendeleo ya makazi (dar es salaam)
16.habari, utamaduni na michezo
sijaona ulazima wa kuwa na manaibu waziri(kwani hata hivyo si wajumbe wa baraza la mawaziri, zaidi ni kama personal assistants wa mawaziri) lakini ikibidi wizara zilizokuwa bolded zinaweza kuwa na manaibu waziri.
kwenye mabano ni baadhi maeneo ambayo mawaziri wa wizara hizo watatoka.
wadau mnaonaje hapo si tutasonga mbele, au kama kuna haja ya kuzichakachua zaidi wizara.
ni maoni tu wakuu mawazo yenu yanahitajika