Baraza la mitihani hii ni sawa?

Baraza la mitihani hii ni sawa?

Joined
Jul 20, 2014
Posts
60
Reaction score
9
Kati ya taasisi ambazo nilitokea kuzikubali kiutendaji ni baraza la mitihani la tanzania (NECTA) Lakini kwa hili naanza kuwa na wasiwasi na utendaji wa baraza kwa sasa. kinachopelekea niseme ivo nikutokana na sisi walimu wa halmashauri ya wilaya ya KOROGWE(V) Kufanyishwa semina ya kusimamia mitihani ya kidato cha nne 2014 na kutolipwa mpaka leo,na tukiuliza tunaambiwa baraza halijatuma iyo ela cha ajabu kwingine walilipwa kwanini sisi tu wa korogwe? tunaomba ela yetu kwani ni haki yetu na kama imeliwa na watendaji wa halmashauri basi tuambiwe.
 
Back
Top Bottom