Baraza la mitihani la Tanzania - Utaratibu wa kupata upya vyeti uboreshwe

neindiwe

Member
Joined
May 21, 2012
Posts
33
Reaction score
22
Ndugu wanajamii forum ,pamoja na wadau wengine jana nilileta hapa madai yangu jinsi ninavyoteseka sn kwa kupoteteza vyeti vyangu vya O and A level.

Wadau mbalimbali wa hapa jamii forum walichangia hiyo mada na kunipa ushauri mbalimbali.Napenda kuwashukuru sn ingawa huo uzi ulitolewa ,baadae sijui kwann.Sasa ndugu zangu katika kuchangia hiyo mada yangu ,kuna mdau mmoja alisema kwamba regulations za Necta za sasa hivi hazitoi cheti kipya kwa aliepoteza mpaka hapo zitakapobadilishwa.

My intake:
Kwa sasa sisi watanzania tunakabiriwa na changamoto nyingi sana kwani maisha tofauti na miaka ya 70.

Kuna changamoto kubwa za sisi kupoteza vyeti vyetu kwa kuibiwa,au hazards mbaya yeyote.So baraza la mitihani lione hizo changamoto,kwani environment yetu na liachane na regulations za zamani kwamba halitatoa cheti mara mbili.

Kwa baraza kuendelea kungangania kula pesa zetu na kutuma statement of result mm naona ni mradi tu wa,watu sio kwa faida za,watanzania.

Ndugu wanajamii forum,nilikuwa naangalia regulations za baraza la mitihan la Kenya kama umepoteza cheti inakuaje?Kenya wanakupa kingine.

Kuna taaratibu unafuata,kwanza unaomba apply kwenye baraza,baraza linacommunicate na shule uliyosoma.Shule yako pia inaandika barua ya kukusurport.Unalipa shs 5000 za Kenya na baada ya miezi mitatu unapewa cheti kipya.

South Africa pia wanafanya hinyo unalipa Rand 63.

Naomba baraza libadilike ili litusaidie.
 
sielewi chet chngu sk kikiliwa na mchwa duh labda uhonge ndio utapat kingine
 
Wadau naombeni kuelekezwa....mm ni mkenya na nilikuja kusomea advance huku Tanzania na nkapata equivalence kabla ya kujoin advance xaxa saa hii nshapata matokeo...naombeni kujua ni utaratibu gan nafaa nifate kabla ya kuapply chuo tcu...Thanx..
 
tatizo umeandika kikambo na kijaruo jaribu kuandika kiswahili ili usaidiwe
 
Wadau naombeni kuelekezwa....mm ni mkenya na nilikuja kusomea advance huku Tanzania na nkapata equivalence kabla ya kujoin advance xaxa saa hii nshapata matokeo...naombeni kujua ni utaratibu gan nafaa nifate kabla ya kuapply chuo tcu...Thanx..

Kumbe na chuo unataka usomee tz kwan ukirudi home kuna nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…