Baraza la mitihani lakanusha

SHABAN R. KIJOJI

New Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Baraza la Mitihani la Tanzania limekanusha kuwa matokeo ya kidato cha nne 2012 yamechakachuliwa. Wanaosema yamechakachuliwa wanatafuta cheap popularity!
 
Suala si kuchakachuliwa ..suala ni nini hatima ya watoto wetu wanaopata sufuri kama njugu....
 
Serikali hatari kuliko yoyote ile ni ya jk wamekopa pesa jumla ya serikali ya mwinyi na mkapa na zaid na deni lilioachwa wamelizidisha mara tatu, haijawah tokea kwa mwinyi wala mkapa,zaid ni malalamiko kila kona anabomoa badala ya kujenga,jana walikuwa wanacheeka na kawambwa wake,wkt watu wamefeli acha tu yani,cku ziende upesi aendezake.
 
Mambo magumu kweli. Matokeo ya mtihani wa mwaka jana yataacha simulizi kwa muda mrefu.
 
Ni kweli matokeo yatazidi kuacha simulizi nyingi! Ila lazima tujue kuwa hata matokeo ya 2013 yatakuwa mabaya kwani wanafunzi wote hawa walipita bila mchujo kidato cha pili.
 
Tusubiri na ya mwaka huu ndio tutajua hatima ya nchi hii
 
Suala si kuchakachuliwa ..suala ni nini hatima ya watoto wetu wanaopata sufuri kama njugu....

mimi nadhani matokeo haya yanaonesha uhalisia. nadhani sasa serikali inalaumiwa kwa kudhibiti wizi wa mitihani. watoto walioshindwa mitihani wamevuna walichopanda. serikali ishushe passmark kwa mwaka huu ili hata Div iv pts 30 waende highschool.
 
Huu ndio ukweli wanafunzi hawasomi.
NECTA sio wapuuzi kutoa matokeo watu wamefail hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…