Baraza la mitihani vipi mbona hamtoi results slip za form 4 waliomaliza mwaka 2012?

Joined
Jun 22, 2011
Posts
5
Reaction score
0
Wana jamvi wenzangu nisaidieni katika hili, kwasababu ukienda mashuleni wanakodai wametuma unaambiwa hawajapelekewa. Kama kuna anaye jua undani wa jambo hili naomba anifahamishe.
 
Wana jamvi wenzangu nisaidieni katika hili, kwasababu ukienda mashuleni wanakodai wametuma unaambiwa hawajapelekewa. Kama kuna anaye jua undani wa jambo hili naomba anifahamishe.

Zimefutwa tayari. Mmeambiwa mrudie pepa.
 
Acha uongo results slip zshatoka mda xaana labda xul kwenu ndo wanawzngua
 
Mpaka iundwe tume,mtapata tu......
 
zimetumwa mashuleni kwetu fwatilia uko
 
Acha uongo results slip zshatoka mda xaana labda xul kwenu ndo wanawzngua

xaana, xul, zshatoka

Sitashangaa nikiambiwa umo katika wale laki mbili na elfu sitini
 
Kjana acha uzembe ujafuatilia. kaz kushnd Jf alaf unaxem NECTA hawajtoa results slip...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…