Baraza la mitihani wawajibishwe

Kweli si somo la maarifa ya uislamu pekee ambalo limechakachuliwa bali masomo yote kwa vijana wa kiislamu huhujimiwa kila mwaka.Naona wale ambao hubeza hii hoja wote wamenywea.Na bado,tunaendelea kukusanya ushahidi kuonyesha jinsi ambavyo NECTA hutoa mitihani kabla kwa shule za kigalatia na kwa kuanzia tutaanza na St Francis Mbeya.Muwe na subra soon ukweli utakuwa wazi.
 
Imefika wakati majina yasitumike kwenye mitihani tutumie tu namba ili kukomesha hila zozote zitakazo jitokeza.

Nifahamuvyo mimi kwenye mitihani huwa tunatumia namba wala siyo majina ya watahiniwa sasa huko kuoneana kimajina kunatoka wapi????
 

hakuna kitu kama hicho!!! Usipoteza muda, soma sana utafaulu tu usiposoma ni kujidanganya kufaulu bila jitihada!!!
 

Rufani ni haki ya mtahiniwa, sasa kama mmekata rufaa namkatendewa haki tatizo liko wapi?? Rufaa haiko NECTA tu hada tunaosoma vyu Vikuu usiporidhika na matokeo yako unakata rufaa na ikibainika kuwa kuna kosa linarekebishwa, sawa na ilivyofanyika kwa somo la elimu ya dini ya kiislamu sasa UDINI unatoka wapi???
 
Hakuna sababu ya Baraza la mitihani kuwajibishwa bali mitihani ya kidini isiingizwe katika kuamua ufaulu wa mtu, na iondolewe mara moja, maana sisi hatutafuti wasomi wa kidini bali tunatafuta wataalamu watakaotusaidia kujikomboa kiuchumi katika nyaanja zote isipokuwa dini, fikiria kuna wengine hatupo katika dini zenu hizo ambazo sidhani kama kuna ulazima wa kufanyiwa mitihani, maana dini ni maisha wala si mitihani ya karatasi. Ndiyo maana mie muda wote najiepusha na mambo kama hayo. Ondoeni mitihani hiyo, iacheni ifanyike huko huko kunakohusika.
 

Mitihani ya dini iondolewe katika kujumuisha division ya mtahiniwa. Hata kama NECTA italisimamia, alama zake zisijumuishe kwenye ku-calculate div. Marks za dini zikawasaidie huko mbele wanakofikiri. Kama NECTA ina mpango wa kuwahujumu, ingehujumu masomo ya unga (PCM, PCB, HGL nk.)

Tutumie busara, hivi kama alama za somo la economics ni E au F, na A ya Dini bado itasaidia kusoma Islamic Economic. Ebu tuwe realistic hapa. Tuache propaganda, na kupandikizwa mambo yasiyokuwa na msingi.

Hata NECTA wakiwajibishwa, watakuja malaika? kosa walilofanya, anybody can do. hawakuwa wabishi wamerudi wakapitia matokeo na kubaini where the mistake happens, wamefanya marekebisho.
Thanks God, Marekebisho hayataathiri hata kuchaguliwa kwenu kwenye Vyuo vikuu. Kama issue ni vyuo vya Kiislam hoja ya msingi ni tatizo la nchi zima litakuwa taken care.

Tuache kupandikiza chuki kwa kizazi kichanga, kama huna alama nzuri, vuta kamba soma, na sio kujustify weakness zako na kueleza umma kuna kundi linaonewa, hii hainiingii akinili..
 

Zitaje hizo shule ndio tuanzie hapo. Bila ya kutaja sioni sababu ya kuchangia. Mbona Mudy guy hajasoma nyie waislam mnang'ang'ania nini?
 

una lako jambo, Unapaste tu, safari bado ni ndefu. acha kupandikiza chuki, kwa kunukuu taarifa husizozifanyia tathmini.
 

ni kwa sababu hujui ulisemalo...mara hii wamebadilisha matokeo sawa je! Una uhakika jambo hili halijawahi kutokea kabla? Think my bro coz we've got evidences to prove that
 
Imefika wakati majina yasitumike kwenye mitihani tutumie tu namba ili kukomesha hila zozote zitakazo jitokeza.

kabisa - hata majina ya shule yasitokee ziwe namba tu. Na coding na decoding ifanywe Ikulu mahala patakatifu. Itasaidia watu kusoma kwa bidii bila kufanya ajizi.
 
kabisa - hata majina ya shule yasitokee ziwe namba tu. Na coding na decoding ifanywe ikulu mahala patakatifu. Itasaidia watu kusoma kwa bidii bila kufanya ajizi.

du kweli dunia ina mambo. Ikulu imekosa kazi kiasi hiki???
Kila kitu mpaka kifanyo=ike ikulu ndio uamini???
 
Hii ni taarifa na si
malalamiko ! Imeletwa kwa wale wasiofahamu kama wewe. Waliolalamikiwa
wamefanya marekebisho. Umeelewa sasa eeehn !?

inaeleweka. ila sioni tatizo. makosa huwa yanakuweko na kusahihishwa kila mwaka!
 
Dawa ni kuayondoa haya masomo ya kidini NECTA..........Yabakie yanakohusika.........nchi haiwezi kudai haina dini halafu inatunga mitihani ya kidini!
 
ni kwa sababu hujui
ulisemalo...mara hii wamebadilisha matokeo sawa je! Una uhakika jambo
hili halijawahi kutokea kabla? Think my bro coz we've got evidences to
prove that

what evidence?
 
this is serious
Hawa watu mbona wanatuondelea uaminifu kwao, maana kama wameweza kuchakachua matokea ya Islamic knowledge kwanza kwa kipindi gani mpaka imekuja kugundulika? Pia tutaamini vipi kama masomo mengine hayaja chakachuliwa, pia upo uwezekano wakafaulishwa watu wasio na sifa ambao ndio wataenda vyuo kwasababu hawana sifa hawa ndo watakuja kutoa maamuzi mabovu ya nchi.
Hiki ni kilio tunapaswa tulie wote, siyo rahisi tu kuona hili jambo nilawaislam waliochakachuliwa ni janga la taifa, taasisi yenye dhamana ya kusimamia elimu nchini inafanya uhuni kiasi hiki na watu tunaona poa
 


Kwa mwenye busara wala hawezi kuhangaika na hili. Dosari ni jambo la kawaida, kikubwa ni kuhakikisha dosari inarekebishwa kwa wakati. Rufaa ni haki ya msingi ya kila mtahiniwa hata vyuo vikuu napo twapewa nafasi ya rufaa. Sasa kukata rufaa au kulalamikia somo la Islamic Knowledge ni sawa na mlalamikiaji wa somo lolote, ambapo NECTA ikichunguza na kujiridhisha, hutoa haki ya mtahiniwa husika!! TUACHE KUPANDIKIZA CHUKI ZA KIDINI KWA KUWA HAZINA MASILAHI KWA TAIFA. Walichokifanya NECTA kusghulikia malamiko fast ni Jambo la KUPONGEZWA-maana tumeshuhudia katika sekta zingine mwananchi analalamikia jambo muda mrefu hata miaka bila kutatuliwa. Let us be sincere katika hili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…